Uchaguzi 2020 Imevuja: Jinsi CCM wanavyopanga kuihujumu CHADEMA

Tunaenda kuchagu wapinzani
 
Sasa kama CHADEMA ni watu wa kujiuza na kununuliwa tu, tukiwapa nchi si watatuuza hawa? hilo la ushoga kwani uongo? hata la Covid-19 pia ni kweli na watanzania wanalijua hilo.
 
Nina mashaka na akili ya mleta uzi, Chadema bado mna ndoto za kuchukua dola kweli!?😂😂😂,
 
As Aksante na wewe umesikika, vijana wa siku hizi bhana 😀😀.
 
Kama noma na iwe noma pumbavu tuta deal nao wamepanic hao
Liwalo na liwe Sasa wadhubutu kuleta Huo mchezo wao
 
Sasa hivi wananunua vitambulisho vya kupigia kura
Wakati tume inafanya uhakiki wa daftari la kudumu, ccm walikuwa na mtu wao kila kata nae alikuwa anaandikisha hivyo vitambulisho na namba za simu
 
Kama hii ndio thinking (tank) na uchambuzi nyuma ya Chadema, basi you are done.
Chama kinakosa hata capability ya kujadili na kuwasilisha kwa umma kanuni za uchaguzi mpya za hovyo zilizoandaliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sasa ziko ofisini kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali zinaandaliwa kichapishwa! Halafu mnakuja na hizi nonsense speculations! Maskini Chadema.
Ninawaeleza mtachinjwa asubuhi kabala ya makasha ya Kura kufunguliwa. Tafuteni wataalam wawasaidieni acheni huu upuuzi hamfiki popote. Chama huongozwa na mipango kisayansi, siyo hisia.
 


unapoteza tu mda wako na ulichoandika: kwanza hakuna mtu atatumia gia corona na cha pili jamaa anakubalika yeye mwenyewe kama mwenyewe ukiachana na kwamba ni presida: jamaa ameenda tu kukagua mradi wa fly over lakini watu walivoojaa utadhan anafanya kampeni kumbe kaja kukagua tu





huezi amini ilikua ni mchana na jua kali lakini watu wamengangana
 
Mkuu na wale wanaoenda ACT wamenunuliwa na CCM?mbona mumeanza kujinyea mapema namna hii.
 
LOOoo, mkuu, hizi ni hujuma, au ni mchezo wa 'kindergaten'!

Sioni hujuma yoyote hapo.

CHADEMA wakishindwa kukabili hizi unazoziita 'hujuma' basi hawajawa tayari kukabidhiwa nchi, na hawastahiri kamwe kumlalamikia yeyote.

Hujuma kama za kuzuia magazeti yasitangaze habari za vyama vya upinzani, naona hii umeisahau...; hii nayo ni hujuma inayowashinda wapinzani kuikabili?

Kawastue CCM, kama hizo ndizo hujuma walizopanga, watafanikiwa tu kama wapinzani wataruhusu ujinga huo

Ukiniambia hujuma, kama za kuwaweka ndani viongozi wote wa upinzani wakati wa kampeni hadi uchaguzi, hapo nitaanza kukusikiliza kwa umakini mkubwa.

CCM wakianza kutumia dola kuwavuruga na kuwapiga wapinzani, nitakusikiliza, na pengine kuanza kuchangia mawazo ya kujikinga zidi ya hujuma kama hizo.

Hao vijana wa CCM wasiotambulika kwa vile tu wamejivika magwanda ya CHADEMA, wao hawana nyama na damu? Hakuna hata mmoja CHADEMA wasioweza kuwatambua kwamba hao sio vijana wao?

Huko CHADEMA hakuna vijana?

Mkuu, mada yako ni nyepesi mno. Hukutumia muda vizuri kuibuni. Nenda kajaribu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…