si ntaakaaa sana[emoji38] nisubir nkiwa mmama ntakutafuta..
haya sawasi ntaakaaa sana
Familia zingine tabu tupu mnaweza jaliwa pesa lakini hekima na heshima mkakosa na kinyume chake!!
Kama unataka pesa njoo ghetto maana unakihoro sana ww!!Acha wivu ww tafuta hela utakufa na roho mbaya sasa hapo shida iko wapi kwa mfano
Kama unataka pesa njoo ghetto maana unakihoro sana ww!!
Sawa hata rais Wana muita uchwara sembuse mie!!!Vunga chalii binadamu kamwe hatuwezi fanana we komaa na mishe zako utatoboa tu usiwe busy sana kutafuta makosa ya binadamu wengine na kujifanya hakimu uchwara
Afu ana tako jeusiiiHongera zao Ila huyu dada hajui kuvaa jamani mpaka anatia kinyaa
Changamkia fulsa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji7][emoji7]
Changamkia fulsa
HahahaaaNaona post zipo pending bado