Imevuja: Maromboso yuko kwenye penzi zito na Queen Darleen

Imevuja: Maromboso yuko kwenye penzi zito na Queen Darleen

Familia zingine tabu tupu mnaweza jaliwa pesa lakini hekima na heshima mkakosa na kinyume chake!!

Acha wivu ww tafuta hela utakufa na roho mbaya sasa hapo shida iko wapi kwa mfano
 
Kama unataka pesa njoo ghetto maana unakihoro sana ww!!

Vunga chalii binadamu kamwe hatuwezi fanana we komaa na mishe zako utatoboa tu usiwe busy sana kutafuta makosa ya binadamu wengine na kujifanya hakimu uchwara
 
Vunga chalii binadamu kamwe hatuwezi fanana we komaa na mishe zako utatoboa tu usiwe busy sana kutafuta makosa ya binadamu wengine na kujifanya hakimu uchwara
Sawa hata rais Wana muita uchwara sembuse mie!!!
Kuwa na maandalizi mema ya sikukuu ya noeli!!
 
Sasa mkuuu ,,Vyuma vimekazaa kwaiyo siku izi hawapewi pesa sana.

Sasa pesa hupewi + hawa waongaji huwa hawapigi mzigo kisawasawa .

Shida yote yann ???? Pesa aspate nabado kugegedwa agegedwa kidogo....bora tu ajilipue na Wasimamia kucha kama unaendesha baiskeli na upo kilima !na hutaki kushuka...lazima aombe pooooo!!.
 
Nadhani itakua kiki tu maromboso atatoa wimbo soon
 
Back
Top Bottom