Imevuja: Maromboso yuko kwenye penzi zito na Queen Darleen

Familia zingine tabu tupu mnaweza jaliwa pesa lakini hekima na heshima mkakosa na kinyume chake!!


Hekima na heshima ni nini, kudate na wahenga? Mi naona kinyume chake, ukichukua dogodogo ndio heshima. Vizee hata Nyalugusu vipo.
 
Kwanza nyi mnamuona Mboso mdogo? Kijeba tu hicho, unajua watu wengi wanaokulia kijijini wanadumaa.
 
Hekima na heshima ni nini, kudate na wahenga? Mi naona kinyume chake, ukichukua dogodogo ndio heshima. Vizee hata Nyalugusu vipo.
Aisee use-force tufanane kila la kheri mkuu!
 
Ni kitu kizuri sana, kama watapendana kweli...
 
Yaani mastaa wa kibongo bwana, shida kweli kweli. Hata hawa ni mastaa?
 
 
Mapenzi ni kizungumkuti,yaani unavyokuwa karibu na demu hata kama hana mvuto unajikuta unampenda hivyo hivyo mpaka kuliwa papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…