Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Hahahaaa
Akitoa tuu post, nitatuma maombi akianani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa
Familia zingine tabu tupu mnaweza jaliwa pesa lakini hekima na heshima mkakosa na kinyume chake!!
Aisee use-force tufanane kila la kheri mkuu!Hekima na heshima ni nini, kudate na wahenga? Mi naona kinyume chake, ukichukua dogodogo ndio heshima. Vizee hata Nyalugusu vipo.
Aya subil tuoneAkitoa tuu post, nitatuma maombi akianani
Aisee use-force tufanane kila la kheri mkuu!
Basi niseme kwamba couple imependeza mkuuIn this case, we ndio una- force tufanane maana ndie unao-judge wenzio na maisha yao.
Ya miguu mitatu?Kwa pikipiki
Naunga mkono hojaFamilia zingine tabu tupu mnaweza jaliwa pesa lakini hekima na heshima mkakosa na kinyume chake!!
kwa nini umekata caption![]()
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika.
Msemo huu umethibitishwa na couple inayokuja kwa kasi kati ya Queen Darlin na Maromboso .
Mboso alijitahidi sana kuficha ficha lakini Queen Darlin ameonekana kukunwa vilivyo na Muhogo wa Jang'ombe wa Mboso na ameshindwa kabisa kujizuia matokeo yake anaonesha waziwazi mahaba niue kwa mpenzi wake huyo bila kujali watu watasemaje juu ya ki Ben ten chake hicho [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huko Sauzi walipoenda kwenye sherehe ya Nillan wamegandana kila mahali kama kumbikumbi vile.
Na kwa sasa Diamond hana budi kumuheshimu Mboso kama shemeji yake na wala si kama msanii wake tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona majimama safari hii yamechachamaaa kujibebea vi Ben ten yamechoka kuguswa guswa na kutiwa tu shombo na vizee sasa wanataka wakamuliwe haswaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] .
View attachment 658119
Mchukue Behaviouristnamimi ngoja nyafute hela nimiliki kiben 10 changu
Naweza nikakupa ukitaka na wala usiwazenamimi ngoja nyafute hela nimiliki kiben 10 changu