Tetesi: Imevuja: Njama ya kuifuta CHADEMA yabainika, Ndio kipaumbele cha kwanza cha Mwigulu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba tayari mipango ya kuifuta Chadema kwenye Daftari la Msajili imekamilika

Habari zingine zinadokeza kwamba huo ndio ushauri wa Mwigulu Nchemba kama Kipaumbele chake cha kuleta maendeleo

Usiondoke IF kwa ajiri ya Taarifa zitakazofuatia Baada ya Timu Yetu kuingia kwenye ofisi ya Mutungi ili kudukua Taarifa hizo za Siri iliyovuja.
 
Mwigulu nchemba UDSM tukimwita chief. Ni muhafidhina asiye amini kwenye siasa za mageuzi.
Hana busara kama kiongozi mkubwa.
Alishawahi kuichana na kuisigina HOTUBA ya KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI
ALomtumia msacky kumtengenezea case Rwakatare
Wakati wa uchaguzi mdogo kule Igunga mwigulu alimwagia tindikali kijana mmoja simkumbuki jina. Alikuwa anazunguka naye kwenye kampeni kuonesha kwamba alimwagiwa hiyo tindikali na Chadema.
Sijui yupo wapi yule kijana kwa Sasa
Mwaka 2015 mwigulu aliandika mawe na madaraja yote Tanganyika akijitangaza kuwa ni raisi ajaye.
Wakati wa maandamano 29. gnz waliyachoma mabasi yake kwa kuwa aliyapata kwa wizi wa Mali za umma. Ndiyo mabasi ya kampuni ya Ester ni Mali ya mwigulu. Tunaweza kuthibitisha.
Anaitumia singida black stars kama njia ya kutakatisha pesa. Ni kama ilivyokuwa Gwambina sijui ilifia wapi?
 
Huyo kijana alikuwa anaitwa Tesha. Mwigulu aliwahi kutengeneza propaganda ya kuwa cdm ni chama cha kigaidi. Aiwatumia sana Zito na Rwakatare. Pia ndio alianza kampeni ya kuivuruga cdm kwa kuwatumia makada wa wakati huo, na baadhi yao ni Mtela Mwampamba, Habib Mchange huyu wa juzi aliyetaka Mange arudishwe. Juliana Shonza na wengine wengi.

Usaliti wa Zito kwa Cdm ulifadhiliwa kwa kiasi kikubwa na Mwigulu. Na huyu Mwigulu ndio aliyeshiriki kwenye bomu la Soweto huko Arusha, achia mbali hujuma nyingine nyingi dhidi ya wanacdm. Sifa kubwa ya Mwigulu huko ccm ni mipango yake miovu dhidi ya cdm kwa kushirikiana na vyombo vya dola. Hata hili kundi la watu wasiojulikana linalosimamiwa na serekali ni ubunifu wa Mwigulu. Huyu ni kiongozi ambaye ataingiza nchi hii kwenye mauaji ya kimbari iwapo nguvu ya mabadiliko itazidi kuimarika. Anafanya haya kama kinga, maana anajua mabadiliko ya kweli yakija, yeye ataishia jela kwa ushahidi wa ukatili aliofanya ndani ya nchi hii. Ertugrul Bey HAYA LAND HOV Lucas Mwashambwa Niko pamoja na Samia
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba tayari mipango ya kuifuta Chadema kwenye Daftari la Msajili imekamilika

Habari zingine zinadokeza kwamba huo ndio ushauri wa Mwigulu Nchemba kama Kipaumbele chake cha kuleta maendeleo

Usiondoke IF kwa ajiri ya Taarifa zitakazofuatia Baada ya Timu Yetu kuingia kwenye ofisi ya Mutungi ili kudukua Taarifa hizo za Siri iliyovuja.
Ifutwe tu chama cha kigaidi na Kilaini cha kazi gani ?

USSR
 
Huyo kijana alikuwa anaitwa Tesha. Mwigulu aliwahi kutengeneza propaganda ya kuwa cdm ni chama cha kigaidi. Aiwatumia sana Zito na Rwakatare. Pia ndio alianza kampeni ya kuivuruga cdm kwa kuwatumia makada wa wakati huo, na baadhi yao ni Mtela Mwampamba, Habib Mchange huyu wa juzi aliyetaka Mange arudishwe. Shonze na wengine wengi.

Usaliti wa Zito kwa Cdm ulifadhiliwa kwa kiasi kikubwa na Mwigulu. Na huyu Mwigulu ndio aloyeshiriki kwenye bomu la Soweto huko Arusha, achia mbali hujuma nyingine nyingi dhidi ya wanacdm. Sifa kubwa ya Mwigulu huko ccm ni mipango yake mouvu dhidi ya cdm kwa kushirikiana na vyombo vya dola. Hata hili kundi la watu wasiojulikana linalosimamiwa na serekali ni ubunifu wa Mwigulu. Huyu ni kiongozi ambaye ataingiza nchi hii kwenye mauaji ya kimbari iwapo nguvu ya mabadiliko itazidi kuimarika. Anafanya haya kama kinga, maana anajua mabadiliko ya kweli yakija, yeye ataishia jela kwa ushahidi wa ukatili aliofanya ndani ya nchi hii.
Mmehamia kwa Mwigulu siasa za maji taka washenzi wakubwa nyie

Huo nilioweka ni ukweli usioacha shaka kuhusu Mwigulu. Anapita kuhadaa watu na propaganda za Uranium kuwa wazungu wanaitamani, lakini haongeleo chochote kuhusu gas na blabla za uchumi wa Gas waliotuhubiria 2012-2015. Mwambieni huko anakopita akihubiri bila kuulizwa chochote, Gas iliishia wapi, nani ni mmiliki kwa sasa?
 
Kuifuta CHADEMA italeta shida kubwa zaidi. Anayeishauri CCM hivyo haipendi Tanzania wala CCM. Hasara ni kubwa kuliko faida. Kuifuta ni sawa na kutengeneza upinzani wenye nguvu kuliko huu wa sasa. Pia italeta shida sana kwa mabeberu na huenda wakatupiga hata vikwazo. CHADEMA ni wa kuwalambisha asali za hapa na pale pia kuwanunua wanaonunulika. Kimsingi inatakiwa wavurugane wenyewe ndani ya chama kama CUF na TLP.
 
Mwigulu nchemba UDSM tukimwita chief. Ni muhafidhina asiye amini kwenye siasa za mageuzi.
Hana busara kama kiongozi mkubwa.
Alishawahi kuichana na kuisigina HOTUBA ya KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI
ALomtumia msacky kumtengenezea case Rwakatare
Wakati wa uchaguzi mdogo kule Igunga mwigulu alimwagia tindikali kijana mmoja simkumbuki jina. Alikuwa anazunguka naye kwenye kampeni kuonesha kwamba alimwagiwa hiyo tindikali na Chadema.
Sijui yupo wapi yule kijana kwa Sasa
Mwaka 2015 mwigulu aliandika mawe na madaraja yote Tanganyika akijitangaza kuwa ni raisi ajaye.
Wakati wa maandamano 29. gnz waliyachoma mabasi yake kwa kuwa aliyapata kwa wizi wa Mali za umma. Ndiyo mabasi ya kampuni ya Ester ni Mali ya mwigulu. Tunaweza kuthibitisha.
Anaitumia singida black stars kama njia ya kutakatisha pesa. Ni kama ilivyokuwa Gwambina sijui ilifia wapi?
Aliwahi pia kuhusishwa na Tukio la Bomu kwenye Mkutano wa Chadema Arusha.. By then akiwa Katibu mwenezi wa sisiem
 
Huyo kijana alikuwa anaitwa Tesha. Mwigulu aliwahi kutengeneza propaganda ya kuwa cdm ni chama cha kigaidi. Aiwatumia sana Zito na Rwakatare. Pia ndio alianza kampeni ya kuivuruga cdm kwa kuwatumia makada wa wakati huo, na baadhi yao ni Mtela Mwampamba, Habib Mchange huyu wa juzi aliyetaka Mange arudishwe. Shonze na wengine wengi.

Usaliti wa Zito kwa Cdm ulifadhiliwa kwa kiasi kikubwa na Mwigulu. Na huyu Mwigulu ndio aloyeshiriki kwenye bomu la Soweto huko Arusha, achia mbali hujuma nyingine nyingi dhidi ya wanacdm. Sifa kubwa ya Mwigulu huko ccm ni mipango yake mouvu dhidi ya cdm kwa kushirikiana na vyombo vya dola. Hata hili kundi la watu wasiojulikana linalosimamiwa na serekali ni ubunifu wa Mwigulu. Huyu ni kiongozi ambaye ataingiza nchi hii kwenye mauaji ya kimbari iwapo nguvu ya mabadiliko itazidi kuimarika. Anafanya haya kama kinga, maana anajua mabadiliko ya kweli yakija, yeye ataishia jela kwa ushahidi wa ukatili aliofanya ndani ya nchi hii. Ertugrul Bey HAYA LAND HOV Lucas Mwashambwa Niko pamoja na Samia
Sina la kusema kuhusu madai yako hayo,kwasababu sipo sehemu ya mipango ya serikali au Mwigulu

Mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe tunasikia mengi lakini hatuna uwakika na ukweli wa habar zake

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

Epuka maandamano Linda uhai wako
 
Kama viongozi wake wa juu wanawaza kuiweka nchi rehani na kukabidhi mikono ya taasisi kubwa za nje kuna sababu ganhi ya kuendelea kuwa na chama kisichokuwa na maono thabiti kuhusu maslahi ya taifa?

Mtoa taarifa umekaa kishabiki sana
 
Gas na bandari hadi sasa ziko kwenye mikono ya watanzania wapi? Tuanzie hapa ili tujue tunaelekea upande upi.
 
Sina la kusema kuhusu madai yako hayo,kwasababu sipo sehemu ya mipango ya serikali au Mwigulu

Mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe tunasikia mengi lakini hatuna uwakika na ukweli wa habar zake

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

Epuka maandamano Linda uhai wako
Tiss sio mwananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom