Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Mara sisi chawa,now sisi ni Tiss?Tiss sio mwananchi wa kawaida.
Next time sijui tutakuwa nani
Mara sisi chawa,now sisi ni Tiss?Tiss sio mwananchi wa kawaida.
Wakati wa maandamano 29. gnz waliyachoma mabasi yake kwa kuwa aliyapata kwa wizi wa Mali za umma. Ndiyo mabasi ya kampuni ya Ester ni Mali ya mwigulu. Tunaweza kuthibitisha.Mwigulu nchemba UDSM tukimwita chief. Ni muhafidhina asiye amini kwenye siasa za mageuzi.
Hana busara kama kiongozi mkubwa.
Alishawahi kuichana na kuisigina HOTUBA ya KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI
ALomtumia msacky kumtengenezea case Rwakatare
Wakati wa uchaguzi mdogo kule Igunga mwigulu alimwagia tindikali kijana mmoja simkumbuki jina. Alikuwa anazunguka naye kwenye kampeni kuonesha kwamba alimwagiwa hiyo tindikali na Chadema.
Sijui yupo wapi yule kijana kwa Sasa
Mwaka 2015 mwigulu aliandika mawe na madaraja yote Tanganyika akijitangaza kuwa ni raisi ajaye.
Wakati wa maandamano 29. gnz waliyachoma mabasi yake kwa kuwa aliyapata kwa wizi wa Mali za umma. Ndiyo mabasi ya kampuni ya Ester ni Mali ya mwigulu. Tunaweza kuthibitisha.
Anaitumia singida black stars kama njia ya kutakatisha pesa. Ni kama ilivyokuwa Gwambina sijui ilifia wapi?
Kuna tiss asiyekuwa chawa?Mara sisi chawa,now sisi ni Tiss?
Next time sijui tutakuwa nani
Akijibu nistueGas na bandari hadi sasa ziko kwenye mikono ya watanzania wapi? Tuanzie hapa ili tujue tunaelekea upande upi.
Miaka yote mlikuwa wapi kusema mpaka amepata uwaziri mkuu? Kwanza kipindi zitto anatoka CDM mwigulu alikuwa mwanasiasa mdogo sanaHuo nilioweka ni ukweli usioacha shaka kuhusu Mwigulu. Anapita kuhadaa watu na propaganda za Uranium kuwa wazungu wanaitamani, lakini haongeleo chochote kuhusu gas na blabla za uchumi wa Gas waliotuhubiria 2012-2015. Mwambieni huko anakopita akihubiri bila kuulizwa chochote, Gas iliishia wapi, nani ni mmiliki kwa sasa?
Bandari na Gas vyote viko chini ya wawekezaji jambo ambalo ni la kawaida kwa Dunia ya kisasa serikali kuwekeza kwenye maeneo yote ya kiuchumi kwa lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wake pmj na kutoa matokeo mazuri na yenye tija kwa uchumi wa taifaGas na bandari hadi sasa ziko kwenye mikono ya watanzania wapi? Tuanzie hapa ili tujue tunaelekea upande upi.
Baada ya Magufuli kufa Mnyeti ambaye ni ndugu yake kwisha habari yakeWakati wa maandamano 29. gnz waliyachoma mabasi yake kwa kuwa aliyapata kwa wizi wa Mali za umma. Ndiyo mabasi ya kampuni ya Ester ni Mali ya mwigulu. Tunaweza kuthibitisha.
Anaitumia singida black stars kama njia ya kutakatisha pesa. Ni kama ilivyokuwa Gwambina sijui ilifia wapi?
kinachowasumbua ni siasa za kufikirika na uongo, yaani mnaongea vitu bilal evidence na mnategemea watu wawachukulie seriousHuyo kijana alikuwa anaitwa Tesha. Mwigulu aliwahi kutengeneza propaganda ya kuwa cdm ni chama cha kigaidi. Aiwatumia sana Zito na Rwakatare. Pia ndio alianza kampeni ya kuivuruga cdm kwa kuwatumia makada wa wakati huo, na baadhi yao ni Mtela Mwampamba, Habib Mchange huyu wa juzi aliyetaka Mange arudishwe. Shonze na wengine wengi.
Usaliti wa Zito kwa Cdm ulifadhiliwa kwa kiasi kikubwa na Mwigulu. Na huyu Mwigulu ndio aloyeshiriki kwenye bomu la Soweto huko Arusha, achia mbali hujuma nyingine nyingi dhidi ya wanacdm. Sifa kubwa ya Mwigulu huko ccm ni mipango yake mouvu dhidi ya cdm kwa kushirikiana na vyombo vya dola. Hata hili kundi la watu wasiojulikana linalosimamiwa na serekali ni ubunifu wa Mwigulu. Huyu ni kiongozi ambaye ataingiza nchi hii kwenye mauaji ya kimbari iwapo nguvu ya mabadiliko itazidi kuimarika. Anafanya haya kama kinga, maana anajua mabadiliko ya kweli yakija, yeye ataishia jela kwa ushahidi wa ukatili aliofanya ndani ya nchi hii. Ertugrul Bey HAYA LAND HOV Lucas Mwashambwa Niko pamoja na Samia
Ww ndio umesikia tunachosema sasa. Au unadhani hicho cheo cha waziri mkuu tunakiona cha maana sana ama kukionea wivu? Huu nisemao ni ukweli kuhusu Mwigulu bila kujali ana cheo ama la, huo ni ukweli usiobadilika.Miaka yote mlikuwa wapi kusema mpaka amepata uwaziri mkuu? Kwanza kipindi zitto anatoka CDM mwigulu alikuwa mwanasiasa mdogo sana
Ametamka akiwa Mbeya hajasingiziwa.Mmehamia kwa Mwigulu siasa za maji taka washenzi wakubwa nyie
USSR
Sasa hao wahuni wanaozurura kupotosha raslimali zitapewa wageni na chama kingine, wanaamanisha hizi rasmali za sasa ni watanzania pekee wamewekeza?Bandari na Gas vyote viko chini ya wawekezaji jambo ambalo ni la kawaida kwa Dunia ya kisasa serikali kuwekeza kwenye maeneo yote ya kiuchumi kwa lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wake pmj na kutoa matokeo mazuri na yenye tija kwa uchumi wa taifa
Hapa hata iwe Chama gani hakiwezi kukwepa kutokana na mfumo wa uendeshaji wa rasilimali za nchi.
Hatari sanaMwigulu nchemba UDSM tukimwita chief. Ni muhafidhina asiye amini kwenye siasa za mageuzi.
Hana busara kama kiongozi mkubwa.
Alishawahi kuichana na kuisigina HOTUBA ya KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI
ALomtumia msacky kumtengenezea case Rwakatare
Wakati wa uchaguzi mdogo kule Igunga mwigulu alimwagia tindikali kijana mmoja simkumbuki jina. Alikuwa anazunguka naye kwenye kampeni kuonesha kwamba alimwagiwa hiyo tindikali na Chadema.
Sijui yupo wapi yule kijana kwa Sasa
Mwaka 2015 mwigulu aliandika mawe na madaraja yote Tanganyika akijitangaza kuwa ni raisi ajaye.
Wakati wa maandamano 29. gnz waliyachoma mabasi yake kwa kuwa aliyapata kwa wizi wa Mali za umma. Ndiyo mabasi ya kampuni ya Ester ni Mali ya mwigulu. Tunaweza kuthibitisha.
Anaitumia singida black stars kama njia ya kutakatisha pesa. Ni kama ilivyokuwa Gwambina sijui ilifia wapi?
Sina sababu ya kuongea uongo, nilichosema ni ukweli, siko kutaka ww uamini. Na sitaki mtu kunichukulia serious, nataka kila mtu ajue ukweli hauna mbadala.kinachowasumbua ni siasa za kufikirika na uongo, yaani mnaongea vitu bilal evidence na mnategemea watu wawachukulie serious
Makonda aliposhiriki mauaji ya Lissu alikuwa n.a. Cheo gani?Miaka yote mlikuwa wapi kusema mpaka amepata uwaziri mkuu? Kwanza kipindi zitto anatoka CDM mwigulu alikuwa mwanasiasa mdogo sana
unatakiwa utoe taarifa hivi: mfanoSina sababu ya kuongea uongo, nilichosema ni ukweli, siko kutaka ww uamini. Na sitaki mtu kunichukulia serious, nataka kila mtu ajue ukweli hauna mbadala.
Umejaa vizuri kwenye 18, kila siku sasa hivi kuanzia rais hadi nyie fuata mkumbo mnasema vijana wamelipwa ili kufanya vurugu 29. Je unaweza kuweka ni kiasi gani hao vijana wamelipwa, na lini ili tujiridhishe kuwa ilikuwa ni malipo ya kufanya fujo wakati wa maandamano ya uchaguzi?unatakiwa utoe taarifa hivi: mfano
Zitto alipokea kiasi flan kutoka ccm kipindi cha uchaguzina hayakua malipo ya huduma ama bidhaa na mda mfupi baadae ikatokea kitu flan (hapa unatumia sasa reference kama ni kiashiria cha rushwa ata ukienda mahakamani unaskilizwa)
ila kwa mnavopanga story zenu basi mtazipanga ivo ivo na amna mtu mwenye akili ataskiliza izo ngonjera