Tetesi: Imevuja: Njama ya kuifuta CHADEMA yabainika, Ndio kipaumbele cha kwanza cha Mwigulu

Tetesi: Imevuja: Njama ya kuifuta CHADEMA yabainika, Ndio kipaumbele cha kwanza cha Mwigulu

mm naona tufunge tu mjadala nakuelekeza jinsi ya kuweka hoja zako unarudia yale yale
Mimi sifuati muongozo wako boss. Ningetaka muongozo wako ningejiunga na chuo chenu cha uongozi wa ccm ili nijifunze kuweka utakavyo.
 
Mwigulu ni muuaji kijana wa mtandao anayetumika vilivyo,huwezi sikia akiongelea haki wala uwajibikaji,alichobakiza ni mipasho muda si mrefu ataanza kuvaa vijora.
Mkuu ile kenge usiiweke kwenye kundi la vijana. Ana miaka 50 mtu na mimvu yake na hata wajukuu umri huo ni sahihi kuwa nao.

Savimbi ndiye muasisi wa "wasiojulikana" ana chuki ya waziwazi kwa wapinzani kumzidi hata Mzee Makamba na yule wa Gombe.
 
Aliwahi pia kuhusishwa na Tukio la Bomu kwenye Mkutano wa Chadema Arusha.. By then akiwa Katibu mwenezi wa sisiem
Masahihisho: Hakuhusishwa, Bali ALIHUSIKA MOJA KWA MOJA
 
Back
Top Bottom