Tetesi: Imevuja: Njama ya kuifuta CHADEMA yabainika, Ndio kipaumbele cha kwanza cha Mwigulu

Wakati wa maandamano 29. gnz waliyachoma mabasi yake kwa kuwa aliyapata kwa wizi wa Mali za umma. Ndiyo mabasi ya kampuni ya Ester ni Mali ya mwigulu. Tunaweza kuthibitisha.
Anaitumia singida black stars kama njia ya kutakatisha pesa. Ni kama ilivyokuwa Gwambina sijui ilifia wapi?
 
Miaka yote mlikuwa wapi kusema mpaka amepata uwaziri mkuu? Kwanza kipindi zitto anatoka CDM mwigulu alikuwa mwanasiasa mdogo sana
 
Gas na bandari hadi sasa ziko kwenye mikono ya watanzania wapi? Tuanzie hapa ili tujue tunaelekea upande upi.
Bandari na Gas vyote viko chini ya wawekezaji jambo ambalo ni la kawaida kwa Dunia ya kisasa serikali kuwekeza kwenye maeneo yote ya kiuchumi kwa lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wake pmj na kutoa matokeo mazuri na yenye tija kwa uchumi wa taifa

Hapa hata iwe Chama gani hakiwezi kukwepa kutokana na mfumo wa uendeshaji wa rasilimali za nchi.
 
Baada ya Magufuli kufa Mnyeti ambaye ni ndugu yake kwisha habari yake
 
kinachowasumbua ni siasa za kufikirika na uongo, yaani mnaongea vitu bilal evidence na mnategemea watu wawachukulie serious
 
Miaka yote mlikuwa wapi kusema mpaka amepata uwaziri mkuu? Kwanza kipindi zitto anatoka CDM mwigulu alikuwa mwanasiasa mdogo sana
Ww ndio umesikia tunachosema sasa. Au unadhani hicho cheo cha waziri mkuu tunakiona cha maana sana ama kukionea wivu? Huu nisemao ni ukweli kuhusu Mwigulu bila kujali ana cheo ama la, huo ni ukweli usiobadilika.

Kwani kushiriki kwenye uhalifu ni lazima uwe na cheo kikubwa? Zito alitoka cdm 2013, Mwigulu wakati huo alikuwa balozi wa nyumba kumi huko ccm? Makonda na Sabaya walishiriki uhalifu wa wazi wakiwa na vyeo vidogo. Je ulitaka Mwigulu awe na cheo kikubwa kiasi gani ili aweze kushiriki uhalifu?
 
Sasa hao wahuni wanaozurura kupotosha raslimali zitapewa wageni na chama kingine, wanaamanisha hizi rasmali za sasa ni watanzania pekee wamewekeza?
 
Hatari sana
 
kinachowasumbua ni siasa za kufikirika na uongo, yaani mnaongea vitu bilal evidence na mnategemea watu wawachukulie serious
Sina sababu ya kuongea uongo, nilichosema ni ukweli, siko kutaka ww uamini. Na sitaki mtu kunichukulia serious, nataka kila mtu ajue ukweli hauna mbadala.
 
Sina sababu ya kuongea uongo, nilichosema ni ukweli, siko kutaka ww uamini. Na sitaki mtu kunichukulia serious, nataka kila mtu ajue ukweli hauna mbadala.
unatakiwa utoe taarifa hivi: mfano

Zitto alipokea kiasi flan kutoka ccm kipindi cha uchaguzina hayakua malipo ya huduma ama bidhaa na mda mfupi baadae ikatokea kitu flan (hapa unatumia sasa reference kama ni kiashiria cha rushwa ata ukienda mahakamani unaskilizwa)

ila kwa mnavopanga story zenu basi mtazipanga ivo ivo na amna mtu mwenye akili ataskiliza izo ngonjera
 
Wamechelewa sana kukifuta hicho chama
 
Umejaa vizuri kwenye 18, kila siku sasa hivi kuanzia rais hadi nyie fuata mkumbo mnasema vijana wamelipwa ili kufanya vurugu 29. Je unaweza kuweka ni kiasi gani hao vijana wamelipwa, na lini ili tujiridhishe kuwa ilikuwa ni malipo ya kufanya fujo wakati wa maandamano ya uchaguzi?

Ifahamike serekali ina uwezo wa kudai hata bank statement za hiyo miaamala, na kupata maelezo ya hao waliotoa hizo hela walitoa kwa malengo gani na lini. Nasubiri ili niende sambamba na utakaji wako wa ushahidi kuhusu hilo la Zito.
 
CHADEMA ya sasa hakuna kilaza anaweza kuifuta, kwa sababu tayari ipo mioyoni mwa watu. Hata wawatese akina Lissu na Heche, bado wapenda mabadiliko daima watakuwa upande wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…