Tetesi: Imevuja: Njama ya kuifuta CHADEMA yabainika, Ndio kipaumbele cha kwanza cha Mwigulu

ni lazima chama cha siasa mamluki wa mabwenyenye ya magharibi na kinachofunza vijana wake ugaidi kikasambaratishwa na kufutwa mara moja kwa mujibu wa sheria.

haiwezekani Tanzania ikufuga mamluki wa kuvuruga demokrasia nchini.
Nadnai ni muhimu sana zoezi la kukifuta chama hicho cha waropokaji na waporomosha matusi likafanyika mapema iwezekanavyo.

hiyo haitakua njama bali zoezi maalumu la kufuta taasiasi za vibaraka nchini Tanzania
 
Interesting. Sasa wakiifuta CHADEMA, watalaumu chama gani kwa kuchochea vurugu na kuharibu amani nchini kwa siku zijazo? Leo hii bado wanahangaika wa kumlaumu kwa maafa na maangamizi waliyofanya kuanzia Oktoba 29. Lissu, Heche na CHADEMA nzima waliwapiga pini mapema kabla ya hiyo kadhia kuanza na, hivyo, kuwaepusha na athari zake. CHADEMA wangekuwa active wakati ule ingekuwa rahisi zaidi kuwatuhumu na kuwafungulia mashtaka ya kupanga na kuongoza "maandamano ya kihaini na kigaidi". Pengine hata kuwa na justification ya kukifuta chama hicho.

Wameishia kufungua mashtaka ya njama za uhaini na ugaidi kwa maelfu ya wananchi! Na kila siku wanaendelea kukusanya wahusika zaidi toka X, TikTok, Instagram, etc! Kitu cha ajabu sana dunia nzima. Yaani watu zaidi ya elfu moja kula njama za kufanya uhaini na ugaidi kwa pamoja. Halafu viongozi wao hawajulikani!

Hii ni kama kujipiga risasi mguuni kama tu ilivyokuwa kwa mauaji makubwa ya Okt. 29 ambayo hayakuhitajika kabisa. Gharama waliyoingia ni kubwa sana kuliko faida yake. It's a no brainer.
 
Mbna walijisema wenyewe, si juzi tu twitter pale watu walikua wanatoa pongezi kwa kupokea pesa kutoka ford?
 
Jaribio lolote la kuifuta Chadema kimabavu ni kuamua kuizika Amani ya Nchi yetu Moja kwa Moja. Wafikiri tofauti, upinzani wa Nchi hii ni Matatizo ya watu na Wala sio Chadema.

#wawekeze muda mwingi kufuta fikra sio jina; mfano nzuri kwa sasa ni kama Chadema imezuiliwa kufanya Kila kitu je Hali ikoje huko ground? Watawala wanalala usingizi mnono? Au ndio mwendo wa digidigi kuhama mashimo?
 
Akina Muliro bado wapo
 
Mbna walijisema wenyewe, si juzi tu twitter pale watu walikua wanatoa pongezi kwa kupokea pesa kutoka ford?
Nilijua huna jipya. Unataka nikupe ushahidi wa Zito kupokea rushwa kwa Mwigulu, na maelezo nitoe. Ww unaniambia walikiri wenyewe. Je walikiri kupokea lini hizo hela, na kwa malengo gani? Maana wameleeza utaratibu wa hizo hela na ni lini zilitolewa, na sio mara ya kwanza ni utaratibu wa kawaida na serekali huwa inafahamu.

Yaani hizo pesa ni sawa na zile pesa walizokuwa wanapokea serekali kama msaada wa kupambana na HIV. Mnatake advantage ya watu kutokujua ukweli wa fedha hizo ili kupotosha kwa lengo la kuficha wizi wenu wa kura na kufanya mauaji. Na vile mmejijengea utamaduni wa kutohojiwa zaidi ya kuhutubia, basi mnaamini watu ni wajinga hawajui lolote.
 
Bomu la soweto alipiga Lema akiwa na lengo la kumuua Mbowe,Lissu pia alishiririki kumpiga risasi yule kijana wa magazeti pale msamvu akiitwa ali zona
 
Yeah, Wavurugane wenyewe kama CCM
 
Ch
Mwigulu ni muuaji kijana wa mtandao anayetumika vilivyo,huwezi sikia akiongelea haki wala uwajibikaji,alichobakiza ni mipasho muda si mrefu ataanza kuvaa vijora.
Chadema ni magaidi,hiyo ndio hoja.
Unajua kuwa Mbowe alipanga kulipua vituo vya mafuta,lema naye na Mzee kibao ndio waliotaka rwakatale afungwe jela.
 
Acha mikwara,tutawakata vichwa
 
Tindo usijichoshe sana kuandika kama unaelezea vitu havina ushahidi, nadhan unakumbuka wazi katika mtandao wa x mmoja wa wanaharakati wenu walitoa shukrani kwa ford kwa kupokea kiasi cha takriban bil 3 za kitanzania, sasa kama unakumbuka sjui kwann unaandika maelezo mengi kuonyesha sintofaham ilihali mpokeaji alithibitisha!

2) Unapoongea kitu na watu ambao wana akili zao, unatakiwa kuongea vitu vimenyooka mfano unaweza kusema ivi, chukulia mfano zito hakuweza kuweka wazi kwamba kapokea hela basi wewe kama mtu mzima unatakiwa kusema hivi

Kuna mwamala wa mwigulu uliingia kwenye akaunti ya zitto na haukua wa malipo ya huduma ama bidhaa, (ukisema hivi unaonekana kabisa wewe ni mtu na akili zako na una hoja za kujibiwa lakini kwa kupayuka uku unapofanya na kuweka sentensi kua ndefu bila msingi unaonekana kabisa mpiga ramli na hakuna mtu mwenye akili timamu atakuchukulia serious unless kundi lenu la mihemko)
 
Bomu la soweto alipiga Lema akiwa na lengo la kumuua Mbowe,Lissu pia alishiririki kumpiga risasi yule kijana wa magazeti pale msamvu akiitwa ali zona
Wangeishia jela, kama wanabambikiwa kesi hapo si ndio ilikuwa penyewe?
 
Nimekuuliza tena, walisema walipokea lini hiyo hela na kwa shughuli gani maana walisema, ama hutaki kusema walipokea lini, na kwa malengo gani maana itapishana na nia yenu ovu ya upotoshaji? Kaokoteni wajinga mnaotaka kuficha wizi wa kura wa juzi, na mauaji mliyofanya, maana wala hamkubali kujibu hoja, zaidi ya kuwahutubia huo upotoshaji wenu.

Kuhusu rushwa ya Zito, siku hizi rushwa ni mshahara, hivyo inapitia bank? Sasa nakupa aasignment ili ukae kwa kutulia. ACT ilianzishwa 2013 mwishoni, Zito aligoma kutoitambua, ilipofika 2014 akaingia na kuhakikisha anakuwa kiongozi wa chama hicho, baada ya mvutano na waliotangulizwa kwenye hiyo project. Kufika 2015 ACT ikashiriki uchaguzi mkuu ikiwa na mwaka mmoja, ilisimamisha wagombea wa ngazi zote nchini, ilitoa wapi pesa ikiwa na mwaka mmoja hadi kuwa na ofisi za kukodisha nchi nzima, lakini chaguzi nyingine mbele ikawa inaomba ichangiwe, na haina ofisi nyingi kama ikivyokuwa ikiwa na mwaka mmoja? Jitundike humo au ukae kwa kutulia.
 
duuu kama hizi ndo akili za chadema, 🤣
 
Ndio vizuri ili watu wajilipue vizuri ili wasisingizie tena ni chadema
 
duuu kama hizi ndo akili za chadema, 🤣
Nimekupa kitu, usitake kujichekelesha. Bisha hayo niliyosema ama mpigie Zito akupe ukweli alitoa wapi hela ya kuanzisha hiyo ACT. JK, Merehemu Membe, Mwigulu, January Makamba na Nape wanajua ACT ilianzishwa vipi, na malengo yalikuwa yapo. Polepole aliposema ACT na Chauma ni vyama Project hakusema kwa bahati mbaya.

Hizo 3b mnazopotosha wasiojua chochote, ni pesa halali zinazoingia kwenye NGO kwa ajili ya kukuza demokrasia, na serekali inafahamu. Ingekuwa haifahamu ingezizuia, na hazijaanza kuingia juzi kama mnavyopotosha. Kama hela zingekuwa zinaingia na kutoka hovyo, basi ruzuku ya cdm wangeichukua toka kesi yao ilivyofunguliwa, na ruzuku yao haijafika hata nusu bilioni lakini imezuiwa, ndio ingekuwa waruhusu 3b zisizofahamika ni za kazi gani? Kaulize ukweli wa hizo 3b ni upi, na mtiririko wake ni upi kufika hapa nchini, ili ukifuata mkumbo wa hiyo propaganda, ujue ni kipi ukibebe ama ukae kimya. Manfu
 
mm naona tufunge tu mjadala nakuelekeza jinsi ya kuweka hoja zako unarudia yale yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…