Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 Dec 20, 2025 #61 stakehigh said: mm naona tufunge tu mjadala nakuelekeza jinsi ya kuweka hoja zako unarudia yale yale Click to expand... Mimi sifuati muongozo wako boss. Ningetaka muongozo wako ningejiunga na chuo chenu cha uongozi wa ccm ili nijifunze kuweka utakavyo.
stakehigh said: mm naona tufunge tu mjadala nakuelekeza jinsi ya kuweka hoja zako unarudia yale yale Click to expand... Mimi sifuati muongozo wako boss. Ningetaka muongozo wako ningejiunga na chuo chenu cha uongozi wa ccm ili nijifunze kuweka utakavyo.
Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,793 Reaction score 6,569 Dec 20, 2025 #62 jiwe angavu said: Mwigulu ni muuaji kijana wa mtandao anayetumika vilivyo,huwezi sikia akiongelea haki wala uwajibikaji,alichobakiza ni mipasho muda si mrefu ataanza kuvaa vijora. Click to expand... Mkuu ile kenge usiiweke kwenye kundi la vijana. Ana miaka 50 mtu na mimvu yake na hata wajukuu umri huo ni sahihi kuwa nao. Savimbi ndiye muasisi wa "wasiojulikana" ana chuki ya waziwazi kwa wapinzani kumzidi hata Mzee Makamba na yule wa Gombe.
jiwe angavu said: Mwigulu ni muuaji kijana wa mtandao anayetumika vilivyo,huwezi sikia akiongelea haki wala uwajibikaji,alichobakiza ni mipasho muda si mrefu ataanza kuvaa vijora. Click to expand... Mkuu ile kenge usiiweke kwenye kundi la vijana. Ana miaka 50 mtu na mimvu yake na hata wajukuu umri huo ni sahihi kuwa nao. Savimbi ndiye muasisi wa "wasiojulikana" ana chuki ya waziwazi kwa wapinzani kumzidi hata Mzee Makamba na yule wa Gombe.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 Dec 23, 2025 Thread starter #63 Siyo tetesi tena
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 Dec 23, 2025 Thread starter #64 TANMO said: Aliwahi pia kuhusishwa na Tukio la Bomu kwenye Mkutano wa Chadema Arusha.. By then akiwa Katibu mwenezi wa sisiem Click to expand... Masahihisho: Hakuhusishwa, Bali ALIHUSIKA MOJA KWA MOJA
TANMO said: Aliwahi pia kuhusishwa na Tukio la Bomu kwenye Mkutano wa Chadema Arusha.. By then akiwa Katibu mwenezi wa sisiem Click to expand... Masahihisho: Hakuhusishwa, Bali ALIHUSIKA MOJA KWA MOJA