Hao IMF ndio wanaosema kwamba
1) Kenya inatoa taarifa za uongo kuhusu uchumi wake
2)Kenya inaongeza thamani ya shilingi yake kwa njia za uongo
3)Kenya hainauwezo wa kulipa madeni
4)Kenya haikopesheki
5)Inflation, taxes na hali ya maisha Kenya, vinazidi kuzorota
Wakisema hivyo, ninyi mnakataa na kuwaita ni wazungu wanaona wivu kwasababu China inawazidi, ila wakisema GDP inaongezeka, mnafurahi na kusema IMF wanafanya research na wanasema kweli. Failed state ninyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna pesa ya kulipa matibabu where is GDP???πππππππππjoto la jiwe yani umepigwa na butwaa hadi ukasahau kuongeza "failed state" hata Angola na Ethiopia mlizokuwa mnazisifu tumezipita na bado mtazidi kutunusa tako.
Nje ya nairobi wanaishi wanyama sio watuGDP AND PPP kama inakua ionekane kwa mabadiliko ya maisha ya watu wa kawaida huduma kama makazi. Umeme. Barabara. Afya. Maji. Dawa vinapatikana maendeleo ya kesnya yapo nairobi. Mombasa na kisumu the rest wanapambana na hali zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya nairobi wanaishi wanyama sio watu
Hata hapo nairobi kwenyewe kuna maajabu pia huwez pata ulimwengu kote
Hahahahaha, hahahahahaUnamaliza nafasi
Unamaliza nafasi tu bure hapa kwa kuandika hot air
hii sindano kumbe hyu jamaa wa failed state imemchoma...bwahahaaa...watoto kul kinyesi wapoHuna pesa ya kulipa matibabu where is GDP???πππππππππ
post kibera mzewNje ya nairobi wanaishi wanyama sio watu
Hata hapo nairobi kwenyewe kuna maajabu pia huwez pata ulimwengu kote
Watu wanakufa turakana na hio GDP iko wapi?????ππππhii sindano kumbe hyu jamaa wa failed state imemchoma...bwahahaaa...watoto kul kinyesi wapo
Ulitaka kibera isahaulike dunia nzima inajulikana kibera munajipa matumaini na nchi inendelea kufa kwenye mikono ya kenyattapost kibera mzew
Imeipiku kwenye GDP za kwenye karatasi na sio uhalisia wa maisha ya watuYani Ghana nchi ndogo kama mikoa ya TZ imeipiku Tanzagiza ichoboy01 ? weka picha za kibera ujiliwaze... bure kabisa
Kenyans' quality of life is higher than that of Tanzanians.In nominal GDP, yes. But in all other parameters, including better standards of living, ie: better public Hospitals, lower unemployment, food availability, water, road, electric, Peace and other, Kenya shall continue to play underdog card for the next decades.
Sent using Jamii Forums mobile app
But people lie. How can you quote a 2019 GDP in April?Numbers don't lie.
This is a higher Q of life? Mtu anaishi kama mnyama pori? You cant see anything like this even in burundiπππKenyans' quality of life is higher than that of Tanzanians.
mko sawa kwa sector zote mbona gdp yenu ni kidogo hivoKama kawaida yenu ya kupenda SIFA, watu wanakufa kwa njaa, unemployment inaongezeka kila kukicha, rushwa na scandals zinaongezeka, wafanyanyakazi migomo haipungui, KQ inafilisika, hali ya maisha inazidi kuwa mbaya, deni la nchi linaongezeka, kila project hata kama ni ndogo lazima mkakope, yoooote hayo kwenu hamuyaoni, ila mkuone GDP hewa ya makaratasi kama hivi mnajiona mpo vizuri sana.
Tuambieni, what is the effect of this cooked GDP to Kenya and Kenyans in general, apart from inflated Ego?.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha jinyonge buda hadi ghana imewazidiAm i that important that i have to be called in such useless discussion?πππ
1) Tz is and has never been in competition with any one. As long as a steady 7% groth is maintained and 3.5% inflation and less than 22% unemployment. They are good
2)When IMF annouced that kes is 17.5% inflated, we coundnt breath overhere due to constant verbal diahorrear of jubilee minion. But today IMF is a "hero" and their data is trueππππ
3) Patia huyu mzee hapa GDP akuleπππ
πππππ
View attachment 1067532