IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

Unamaliza nafasi
Hao IMF ndio wanaosema kwamba
1) Kenya inatoa taarifa za uongo kuhusu uchumi wake
2)Kenya inaongeza thamani ya shilingi yake kwa njia za uongo
3)Kenya hainauwezo wa kulipa madeni
4)Kenya haikopesheki
5)Inflation, taxes na hali ya maisha Kenya, vinazidi kuzorota

Wakisema hivyo, ninyi mnakataa na kuwaita ni wazungu wanaona wivu kwasababu China inawazidi, ila wakisema GDP inaongezeka, mnafurahi na kusema IMF wanafanya research na wanasema kweli. Failed state ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unamaliza nafasi tu bure hapa kwa kuandika hot air
 
GDP AND PPP kama inakua ionekane kwa mabadiliko ya maisha ya watu wa kawaida huduma kama makazi. Umeme. Barabara. Afya. Maji. Dawa vinapatikana maendeleo ya kesnya yapo nairobi. Mombasa na kisumu the rest wanapambana na hali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya nairobi wanaishi wanyama sio watu
Hata hapo nairobi kwenyewe kuna maajabu pia huwez pata ulimwengu kote
 
Yani Ghana nchi ndogo kama mikoa ya TZ imeipiku Tanzagiza ichoboy01 ? weka picha za kibera ujiliwaze... bure kabisa
 
Yani Ghana nchi ndogo kama mikoa ya TZ imeipiku Tanzagiza ichoboy01 ? weka picha za kibera ujiliwaze... bure kabisa
Imeipiku kwenye GDP za kwenye karatasi na sio uhalisia wa maisha ya watu

Rejea kwenye maisha ya watu ndio utajua nafasi yenu iko wapi as a failed state
 
In nominal GDP, yes. But in all other parameters, including better standards of living, ie: better public Hospitals, lower unemployment, food availability, water, road, electric, Peace and other, Kenya shall continue to play underdog card for the next decades.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenyans' quality of life is higher than that of Tanzanians.
 
ichoboy01 ningezaliwa mtz ningejinyonga yani ghana imewashinda??? Na usiseme ni wa makaratasi juu mko nambari 10. Kuipiku Kenya msahau afu kwanza mjaribu kuipiku ghana na sioni mkiweza.
 
Kenyans' quality of life is higher than that of Tanzanians.
This is a higher Q of life? Mtu anaishi kama mnyama pori? You cant see anything like this even in burundi😂😂😂
HUNGER-TURKANA-2.jpg
 
Kama kawaida yenu ya kupenda SIFA, watu wanakufa kwa njaa, unemployment inaongezeka kila kukicha, rushwa na scandals zinaongezeka, wafanyanyakazi migomo haipungui, KQ inafilisika, hali ya maisha inazidi kuwa mbaya, deni la nchi linaongezeka, kila project hata kama ni ndogo lazima mkakope, yoooote hayo kwenu hamuyaoni, ila mkuone GDP hewa ya makaratasi kama hivi mnajiona mpo vizuri sana.

Tuambieni, what is the effect of this cooked GDP to Kenya and Kenyans in general, apart from inflated Ego?.

Sent using Jamii Forums mobile app
mko sawa kwa sector zote mbona gdp yenu ni kidogo hivo
 
Am i that important that i have to be called in such useless discussion?😂😂😂
1) Tz is and has never been in competition with any one. As long as a steady 7% groth is maintained and 3.5% inflation and less than 22% unemployment. They are good

2)When IMF annouced that kes is 17.5% inflated, we coundnt breath overhere due to constant verbal diahorrear of jubilee minion. But today IMF is a "hero" and their data is true😂😂😂😂

3) Patia huyu mzee hapa GDP akule😂😂😂
👇👇👇👇👇
View attachment 1067532
hahaha jinyonge buda hadi ghana imewazidi
 
Back
Top Bottom