IMF Executive Board Approves a US$739 Million Disbursement to Kenya to Address the Impact of the COVID-19 Pandemic

Huyo hana ushahidi wowote anapayuka kama anao utafute ulete humu tuuone,anaunga unga tu hana jipywaaaaa
Direct from Zanzibar. Do you have any other question?
IMG_20200507_152242.jpg
 
Alafu hawa wa huku ndio wanaezapinga wivu na developments za Kenya. Ebu cheki hapa venye vigogo wao wameshangazwa na achievements za Kenya.

Hospitals kubwakubwa Tanzania zimejengwa kila upande mnakumbuka ule Uzi wa huduma za afya wakenya mlikimbia .Tanzania kwenye huduma za afya tunakimbizana na south afrika sio Kenya ndo maana wakenya wengi wanakuja Tz kupata huduma nzuri za afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo sio msaada, hilo ni "KOPO", yaani unakopa kwa ajili ya " recurrent expenditure ", ikiwa mikopo ya miradi yenye kuzalisha pesa wameshindwa kulipa, je hii ya kinunulia masks na Sanitizers watalipaje?.

Ila juhudi zao za kupima na kutangaza zinaanza kuzaa matunda, lengo lao ni kutaka kupata sababu ya kupata mikopo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tangu lini financial support to businesses ikawa ni recurrent expenditure? Anyway, mungu wenu jiwe sasa anaanza kuonja matunda ya kupika data.
 
Wana tapatapa tu. Shida yao wanatamani sana mabaya kuliko mema ya nchi. kizuri akuu kibaya sasa dah!
Ndio furaha yao kubwa maana lockdown na curfew zimeshindwa kuzaa matunda kule kwao kwa hiyo inabidi hasira wazihamishie Tz 😂
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mnapenda Sana shida yanii mikopo ituzimeee ingekuwa msaada sawa lkn mkopo hata aunishtui
Tangu lini financial support to businesses ikawa ni recurrent expenditure? Anyway, mungu wenu jiwe sasa anaanza kuonja matunda ya kupika data.
 
Hospitals kubwakubwa Tanzania zimejengwa kila upande mnakumbuka ule Uzi wa huduma za afya wakenya mlikimbia .Tanzania kwenye huduma za afya tunakimbizana na south afrika sio Kenya ndo maana wakenya wengi wanakuja Tz kupata huduma nzuri za afya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Don't be ridiculous, kipimo Cha coronavirus kipo kimoja nchi nzima ndio mshindane na South Africa? Sema Tanzania inashindana na Burundi, hata Somalia hatuifikii pamoja na kuwa wapo vitani.
 
Ndio furaha yao kubwa maana lockdown na curfew zimeshindwa kuzaa matunda kule kwao kwa hiyo inabidi hasira wazihamishie Tz 😂
Kwenye lockdown haili ni Tete na visa vinaongezeka na ingewekwa bongo hawahawa wangelaani sanaaaa kuwa tunaiga,Kenya Uganda visa haviongezeki? Si walikuwa na huo mfumo hadi kuuwana kwa risasi kikowapi? Urusi na Simba wao je? Piga kaziiii shukuru kwa Uhuru huo
 
Hospitals kubwakubwa Tanzania zimejengwa kila upande mnakumbuka ule Uzi wa huduma za afya wakenya mlikimbia .Tanzania kwenye huduma za afya tunakimbizana na south afrika sio Kenya ndo maana wakenya wengi wanakuja Tz kupata huduma nzuri za afya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo hospital kubwa kubwa mbona hamuwaambii hawa wakuu wenu wanaoshangaa za kwetu

Nonsense, kipimo cha korona sio kipimo cha huduma mbovu za afya Kenya ndo inalingana na Burundi na somalia Tanzania kila mkoa una hospitali kubwa hata zaidi ya mbili.kwa taarifa yako hospitali za Tanzania tunahudumia hata raia wa nchi jirani.wengi tu wanakuja kutibiwa tZ ikiwemo wakenya.
Don't be ridiculous, kipimo Cha coronavirus kipo kimoja nchi nzima ndio mshindane na South Africa? Sema Tanzania inashindana na Burundi, hata Somalia hatuifikii pamoja na kuwa wapo vitani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mnapenda Sana shida yanii mikopo ituzimeee ingekuwa msaada sawa lkn mkopo hata aunishtui

Jiwe amekopa mara ngapi? Juzi juzi tu kabla ya COVID 19 serikali ilikuwa inajisifia kuwa imepata mkopo kutoka Stanchart kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa reli, ulikuwa msaada huo?
Na kwa hali ya sasa sioni Stanchart wakitoa hata ndururu.
 
Kwenye lockdown haili ni Tete na visa vinaongezeka na ingewekwa bongo hawahawa wangelaani sanaaaa kuwa tunaiga,Kenya Uganda visa haviongezeki? Si walikuwa na huo mfumo hadi kuuwana kwa risasi kikowapi? Urusi na Simba wao je? Piga kaziiii shukuru kwa Uhuru huo
Ndio shida ya copy and paste ili waonekane wapo sahihi kumbe kwa ground mambo ni different yaani wanaoumia ni raia wa kawaida.
 
Back
Top Bottom