IMF Executive Board Approves a US$739 Million Disbursement to Kenya to Address the Impact of the COVID-19 Pandemic

IMF Executive Board Approves a US$739 Million Disbursement to Kenya to Address the Impact of the COVID-19 Pandemic

Hii pesa inauma watanzania sana😂😂. Sijui ni because hawajaipata ama nini?


Huyu so huwa analalamika kila siku serikali ya Magufuli inakopa sana leo anataka nini tena?
 
888888
Nakwambia kwa Tanzania hadi maduka yatavunjwa mi nawaambia. Tusiombe kufika hukoo
888989
naona umerudi [emoji23] [emoji23]
Watoe takwimu za kweli sasa sio za kupika na kushfu bila uhakikaaa hicho tu ndo tunachokitaka
Wasema ukweli, wasio danganyika na kupumbazwa na propaganda za ccm, wanajua hali kamili ya nchi, wanapigania haki za wanyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bx7978

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom