Mzeee Suleiman
Senior Member
- May 6, 2020
- 116
- 65
Watoe takwimu za kweli sasa sio za kupika na kushfu bila uhakikaaa hicho tu ndo tunachokitakaWasema ukweli, wasio danganyika na kupumbazwa na propaganda za ccm, wanajua hali kamili ya nchi, wanapigania haki za wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app