Mzeee Suleiman
Senior Member
- May 6, 2020
- 116
- 65
Watoe takwimu za kweli sasa sio za kupika na kushfu bila uhakikaaa hicho tu ndo tunachokitakaWasema ukweli, wasio danganyika na kupumbazwa na propaganda za ccm, wanajua hali kamili ya nchi, wanapigania haki za wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasema ukweli, wasio danganyika na kupumbazwa na propaganda za ccm, wanajua hali kamili ya nchi, wanapigania haki za wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe amekopa mara ngapi? Juzi juzi tu kabla ya COVID 19 serikali ilikuwa inajisifia kuwa imepata mkopo kutoka Stanchart kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa reli, ulikuwa msaada huo?
Na kwa hali ya sasa sioni Stanchart wakitoa hata ndururu.
Hao wamewahi kusema kwamba serikali imefanya vizuri hata kwenye secta moja?inamaana serikali haijawahi kufanya vizuri hata secta 1?kwenye secta ya afya vitu vinaonekana kwa mfano manyara kuna hospitali ya mkoa na hydom(hospitali ya rufaa) zote ni hospitali kubwa alafu bado hospital za wilaya zinajengwa.Wasema ukweli, wasio danganyika na kupumbazwa na propaganda za ccm, wanajua hali kamili ya nchi, wanapigania haki za wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka akakope kwaajili ya voucher na maandazi ya wizara ya afya bila sababu ili baada ya maafa tuanze kupiga magoti kiomba kupunguziwa Deni lisilo lipika au tuhalishe mshoga ili Deni kama hilo lifutwe? Lingekuwa na umuhimu hata China wangetukopesha
Tutayapokea kwa mikono mi2 maana kauli ya baba ni upendo kwa watotoKeep on hallucinating Mataga.
You should praise God for the stupidity he gave you. This is what Zanzibar gave WHO.Hizo data rudisha ulikotoa na ushughulike na majanga yanayoikumba nchi yako.
Na hii imetolewa muda huu.You should praise God for the stupidity he gave you. This is what Zanzibar gave WHO.
View attachment 1442884
Tangu lini ukaona PowerPoint enye iko signature?Hakuna muhuri wa Wala sahihi ya serikali Sasa napata vipi uhakika? Sidhani kama ni ushahidi tosha mkuu
I DON'T BELIEVE THAT KENYANS ARE GOING TO BE A BENEFICIARY, THIS LOAN WIL END OF THE DAY GOING TO BE A VERY BENEFICIAL TO WHITE PEOPLE SIDE. ALWAYS THEY MAKE MONEY FROM AFRICA THROUGH SUCH KIND OF LOANS!!Kenya walamba $739 million sawa na 1.7 trilion Tanzania Sh ili kuwasaidia kupambana na Janga la Covid 19.
=======
The IMF approved the disbursement of US$739 million to be drawn under the Rapid Credit Facility to support the authorities’ response to the COVID-19 pandemic.
The COVID-19 pandemic is taking a serious toll on the Kenyan economy, significantly reducing growth, creating fiscal and external financing needs.
It is important that the authorities resume their fiscal consolidation plans to reduce macroeconomic vulnerabilities once the crisis abates.
Washington, DC – The Executive Board of the International Monetary Fund (IMF) today approved the disbursement of SDR542.8 million (100 percent of quota, about US$739 million) to be drawn under the Rapid Credit Facility (RCF). This will help to meet Kenya’s urgent balance of payments need stemming from the outbreak of the COVID-19 pandemic.
The impact of COVID-19 on the Kenyan economy will be severe. It will act through both global and domestic channels, and downside risks remain large. While the authorities have taken decisive action to respond to the pandemic’s health and economic impacts, the sudden shock has left Kenya with significant fiscal and external financing needs. Authorities have committed to resume their fiscal consolidation plans once the crisis abates to reduce debt vulnerabilities.
The RCF will help the authorities to address those needs. It will allow them to maintain an adequate level of international reserves and help provide the budget financing needed to respond to the pandemic.
The IMF is in close contact with the Kenyan authorities and stands ready to provide policy advice and further support, as needed.
At the conclusion of the Board discussion, Mr. Tao Zhang, Deputy managing Director and Acting Chair, stated:
“The COVID-19 pandemic has delivered a large economic shock to Kenya. The pandemic has impacted nearly all facets of the economy—particularly tourism, transport, and trade—and led to urgent balance of payments and fiscal financing needs.
“Emergency financing under the RCF will deliver liquidity support to help Kenya cover its balance of payments gap this year. It will provide much-needed resources for fiscal interventions to safeguard public health and support households and firms affected by the crisis. It will also catalyze necessary financing from other donors.
“A pause in the authorities’ fiscal consolidation plans to accommodate COVID-19-related measures is appropriate. These measures should be temporary and well-targeted. Once the crisis abates, it is critical that the authorities resume their pursuit of a growth-friendly medium-term fiscal adjustment, including raising revenues as a share of GDP, to reduce debt vulnerabilities.
“The Central Bank of Kenya (CBK) has taken various measures to maintain sufficient liquidity in the financial sector. It should continue to stand ready to further support the economy and the financial sector’s health, as necessary, while ensuring that policy decisions are data-driven. The CBK should also continue to allow the exchange rate to act as a shock absorber.
“To ensure that COVID-19 related resources are used for their intended purpose, the authorities plan to conduct independent post-crisis auditing of COVID-19 related expenditures and publish the results.”
Source: IMF Executive Board Approves a US$739 Million Disbursement to Kenya to Address the Impact of the COVID-19 Pandemic
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kafungie maandazi maana documents za serikali hazitumwi kizembe na kiholela hivyo bila kuchapishwa na kutiwa sahihi na serikali husika. Hizo za stationary kafungie maandaziYou should praise God for the stupidity he gave you. This is what Zanzibar gave WHO.
View attachment 1442884
Serikari hitumi documents through stationaryTangu lini ukaona PowerPoint enye iko signature?
I know you are not happy that Zanzibar has defied Magufuli's order. According to document sent to WHO, Zanzibar has 36 deaths with 235 confirmed cases.Na hii imetolewa muda huu.
Hiyo rudisha ulikotoa.
I know you are not happy that Zanzibar has defied Magufuli's order. According to document sent to WHO, Zanzibar has 36 deaths with 235 confirmed cases.
Hiyo nenda kaprint utoe na copy kisha ufungie mandazi.I know you are not happy that Zanzibar has defied Magufuli's order. According to document sent to WHO, Zanzibar has 36 deaths with 235 confirmed cases.
Anafahamu fika kuwa ameshaumbuka ndio maana analeta ubishi wa kijinga.Tupe uhakika wa kujieleza wenye mashiko bila kuleta chenga chenga. za kupika zinaleta maswali mengi bila sababu ya msingi,Nb najua hamna lolote zaidi ya ubishi tu
Since Zanzibar bado hawajadeny the figures, this report utabaki kuwa ukweli.Tupe uhakika wa kujieleza wenye mashiko bila kuleta chenga chenga. za kupika zinaleta maswali mengi bila sababu ya msingi,Nb najua hamna lolote zaidi ya ubishi tu
Ana edit kwenye ms office anadhani kila mtu hana uwelewa huo. Aprint kisha awaonyeshe shule ya msingiAnafahamu fika kuwa ameshaumbuka ndio maana analeta ubishi wa kijinga.
https://www.facebook.com/video.php?v=2573342822917348Ana edit kwenye ms office anadhani kila mtu hana uwelewa huo. Aprint kisha awaonyeshe shule ya msingi
naona umerudi 😂 😂Huo sio msaada, hilo ni "KOPO", yaani unakopa kwa ajili ya " recurrent expenditure ", ikiwa mikopo ya miradi yenye kuzalisha pesa wameshindwa kulipa, je hii ya kinunulia masks na Sanitizers watalipaje?.
Ila juhudi zao za kupima na kutangaza zinaanza kuzaa matunda, lengo lao ni kutaka kupata sababu ya kupata mikopo.
Sent using Jamii Forums mobile app