Na mimi ndio nimekwambia nilete hali ya huduma za kijamii ya Uganda!?Si ulitaka kujua kipi wako mbele yetu? Nakuongezea hata kiwanda Cha Magari ya umeme,Agri sector Yao Iko vizuri kushinda Tanzania na hata sekta ya viwanda mfano Sukari.
Wewe kabishabe kwenye nyuzi ya kuliwa kimasihara ila humu unaonyesha unaupeo mdogo sana wa kutoa madaNa mimi ndio nimekwambia nilete hali ya huduma za kijamii ya Uganda!?
Yani social development ikoje!?
Ukanikataza na kudai kuwa unazungumzia yajayo.
Huo uwekezaji wote mbona hauakisi maisha ya raia kwa Uganda??
Muha Umeshinda 3=0Na mimi ndio nimekwambia nilete hali ya huduma za kijamii ya Uganda!?
Yani social development ikoje!?
Ukanikataza na kudai kuwa unazungumzia yajayo.
Huo uwekezaji wote mbona hauakisi maisha ya raia kwa Uganda??
Je ni kwamba sisi hatuna mradi mwingine ambao utaiboost Tanzania kuelekea kwe double digit. Kiwanda Cha kusafisha mafuta kitakuwa Tanga. Kwahiyo tutegemea kupata Kodi na mambo mengine kuzunguka kiwanda yataboost uchumi wa tanzania.Uchumi ku jump to 10.8% ni ushahidi tosha kwamba kila kitu kitabadilika.
Uganda Wana flaiova nzuri na Kali kushinda Yz
Uganda Wana expressway toll road Entebe-Kampala 40 km Tanzania hakuna.
Mwisho: Uganda sio Nchi ya mzaha hata Sasa bila Mafuta inaongoza Ukuaji wa Uchumi Kwa 6.2%
Tanga hakuna kiwanda chochote Cha Mafuta hapo ila Kuna matenki tuu ya kuhifadhia Mafuta,kiwanda linajengwa Uganda.Je ni kwamba sisi hatuna mradi mwingine ambao utaiboost Tanzania kuelekea kwe double digit. Kiwanda Cha kusafisha mafuta kitakuwa Tanga. Kwahiyo tutegemea kupata Kodi na mambo mengine kuzunguka kiwanda yataboost uchumi wa tanzania.
Badooo Kuna nickel kabanga, kiuhalisia Kuna vitu tukikomaa navyoo Bado tunaweza kuendeleza kukua.
Kwa mfano kilimo tu Kuna mazao kama ufuta yanazid kupanda na miongoni mazao yaliyoongoza kwa kuingiza pesa kati ya mazao yote. Hata waanzishe irrigation scheme kivip Dunia Bado itaendelea kuhitaji chakula kuliko uzalishaji wake na hapo ndo Europe au marekani ilipopiga gap.
Kwa mfano kiwango Cha ngani kinachozalishwa ufaransa hakifikii hata robo ya kinachozalishwa afrika na Bado wanakuja kutuuzia sisi
Yaishe Abdul mtoto wa mama kizimkazi.Muha Umeshinda 3=0
Tukienda na mama hadi 2035 atalivusha Taifa hili.Yaishe Abdul mtoto wa mama kizimkazi.
πππππππππππ
Takwimu wa IMF na World Bank sio za kuzitilia maanani sana japo ni muhimu kuzingatiaShirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia asilimia 10.8% kuanzia mwaka 2025.
Ukuaji huo utachangiwa na kuanza Kumiminika Kwa pesa za mauzo ya Mafuta mwishoni mwa mwaka 2025.
Kasi hii kubwa ya Uchumi wa Uganda itakuza Ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo kutoka GDP ya $ 49bln (2024) Hadi GDP ya $ 120bln (2035) ambapo Wachambuzi wa Uchumi wanasema Uchumi huo utalingana Kwa Ukubwa na Tanzania.ππ
View: https://x.com/Reuters/status/1834128627794931796?t=rBXwRZpnNB7hhcOWwp-hJQ&s=19
My Take
Kuna haja ya Tanzania kwenda kujifunza Kwa Ethiopia iliwezaje kukuza Uchumi wake Kwa double digit Kwa miaka 10 na kuzipita Kenya,Angola na Sudani kuwa Baba wa Uchumi Afrika Mashariki huku hawana Mafuta Wala gesi.
Vinginevyo Tanzania tutapitwa na Uganda Kwa Ukubwa wa Uchumi (GDP size) baada ya mwaka 2035.
Nchi zote ambazo zilipata maendeleo makubwa ni zile ambazo Uchumi wake uliwahi kujua Kwa double digit yaani kuanzia 10% Kwa miaka 10 mfululizo Duniani kote ndipo zilipunguza umaskini Kwa nusu vinginevyo Hali itazidi kuwa tete.
Hii growth rates ya 4-7% ambayo tumekuwa nayo Kwa miaka zaidi ya 15 haijawahi na Wala haitakuja saidia kuondoa umaskini ππ
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1833424456926044371?t=OuBdrDykvfYDPafDjZrbMg&s=19
Pia soma WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.
Naungana na wewe,Kilimo Cha Kimkakati Cha mazao ndio iwe kipaombele chetu.Je ni kwamba sisi hatuna mradi mwingine ambao utaiboost Tanzania kuelekea kwe double digit. Kiwanda Cha kusafisha mafuta kitakuwa Tanga. Kwahiyo tutegemea kupata Kodi na mambo mengine kuzunguka kiwanda yataboost uchumi wa tanzania.
Badooo Kuna nickel kabanga, kiuhalisia Kuna vitu tukikomaa navyoo Bado tunaweza kuendeleza kukua.
Kwa mfano kilimo tu Kuna mazao kama ufuta yanazid kupanda na miongoni mazao yaliyoongoza kwa kuingiza pesa kati ya mazao yote. Hata waanzishe irrigation scheme kivip Dunia Bado itaendelea kuhitaji chakula kuliko uzalishaji wake na hapo ndo Europe au marekani ilipopiga gap.
Kwa mfano kiwango Cha ngani kinachozalishwa ufaransa hakifikii hata robo ya kinachozalishwa afrika na Bado wanakuja kutuuzia sisi
Ushaanza Abdul bin Kizimkazi.Tukienda na mama hadi 2035 atalivusha Taifa hili.
Sasa Kilimo kinakua Kwa 4% kutoka 2% na lengo ni zaidi ya 6% by 2025 na 10% ya GDP itoke kwenye Kilimo ,hii ndio njia mama is doing.
Sekta zingine Wala Hazina shida zinaendelea vizuri but inatakiwa Kasi iongezeke hususani Manufacturing na Biashara.
Utalii Kwa Sasa uko sawa but is very fragile industry ππ
View: https://www.instagram.com/p/C_2N3MCo7ee/?igsh=Y3B6MjF0cjhzZWZz
Wamekuja na wazo jipya Kila Wilaya inaandaa maeneo Kwa Ajili ya Kilimo huko huko Wilayani kwao.BBI ya Bashe alieiplan ni kilaza na haitokuja kua na matokeo, wale vijana aliowapeleka dodoma kama mizigo alitakiwa, awaselect kulingana nabmaeneo yao na walime hukohuko mazao yanayokubali kwao, na ahakikishe wanasimamiwa na maafisa kilimo nanushauri wapewe, Kwa mfano kijana wa usangu angebakia kwao alime mpunga ilikua kuwawezesha, haya njombe abakie kwao alime viazi
Hatujashindwa tunaendelea kupambana ππUzalishaji na uuzaji wa huduma ndio mkombozi wetu, maana kwenye madini tulishashindwa Kwa mikataba mibovu,
Jikite kwenye hoja.Ushaanza Abdul bin Kizimkazi.
πππππππππ
MCHICHA MWIBA TU WEWEEUshaanza Abdul bin Kizimkazi.
πππππππππ
Urari unapatikana vipi wakati watu wasiozidi 5% wanashikilia more than 90% of our economy. ?Sawa lakini Kwa Tanzania tuna urali mzuri kuliko maeneo mengi.
Hili wala sio suala viongozi waliopita wlikua wanakwepa. Trend ya Tanzania kuwa top 5 kuzalisha mchele ni muda mrefu tu, uzuri tumeendelea kuishikilia hapoNaungana na wewe,Kilimo Cha Kimkakati Cha mazao ndio iwe kipaombele chetu.
Rais eameanza ila tunataka kuweka na consistency sio akija mwingine anaacha anahamia kwingine,hili limekuwa tatizo kubwa sana kutoelewa vipaombele vya kuondoa umaskini.
Na watawala dhaifu wanakwepa Kilimo Kwa sababu wanaona kinaweza kuwaumbua ila wenye akili wanapambania Kilimo.
Kazi kubwa inaendelea kwenye Kilimo ππ
View: https://x.com/tzthinker/status/1835414016719532398?t=DNvoNwcDMM5GnjfUrx9I6Q&s=19
View: https://youtu.be/WgKpR1zGPus?si=LoVRSitO1Hw3ZiP2
Ethiopia walishasustain mbona kwenye ukuaji wa average ya 10% kwa miaka zaidi ya 10. Au unazungumzia ethiopia ipi?Huo ni uongo wa Karne eti Msaada wa IMF wa 40%,jifunze kutofautisha mikopo na Msaada.
Mikopo ni sehemu ya Mapato ya Nchi na inalipwa.
Mambo mengine uliyoeleza sababu ziko wazi kwamba ni Kasi kubwa ya population ndio inawatatiza kiasi kwamba hiyo growth rates Yao Wameshindwa kuondoka kwenye kundi la LCD licha ya kuwa na Uchumi mkubwa Afrika.
But Imani yangu ni kwamba wakirwjea kwenye Amani na Waka sustain Ukuaji wa over 10% Kwa miaka 10 zaidi Watafika Mbali sana na kupunguza hizo Changamoto.
Weka uthibitishoEthiopia walishasustain mbona kwenye ukuaji wa average ya 10% kwa miaka zaidi ya 10. Au unazungumzia ethiopia ipi?
Lazima baada ya muda USA atawapelekea demokrasiaShirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia asilimia 10.8% kuanzia mwaka 2025.
Ukuaji huo utachangiwa na kuanza Kumiminika Kwa pesa za mauzo ya Mafuta mwishoni mwa mwaka 2025.
Kasi hii kubwa ya Uchumi wa Uganda itakuza Ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo kutoka GDP ya $ 49bln (2024) Hadi GDP ya $ 120bln (2035) ambapo Wachambuzi wa Uchumi wanasema Uchumi huo utalingana Kwa Ukubwa na Tanzania.ππ
View: https://x.com/Reuters/status/1834128627794931796?t=rBXwRZpnNB7hhcOWwp-hJQ&s=19
My Take
Kuna haja ya Tanzania kwenda kujifunza Kwa Ethiopia iliwezaje kukuza Uchumi wake Kwa double digit Kwa miaka 10 na kuzipita Kenya,Angola na Sudani kuwa Baba wa Uchumi Afrika Mashariki huku hawana Mafuta Wala gesi.
Vinginevyo Tanzania tutapitwa na Uganda Kwa Ukubwa wa Uchumi (GDP size) baada ya mwaka 2035.
Nchi zote ambazo zilipata maendeleo makubwa ni zile ambazo Uchumi wake uliwahi kujua Kwa double digit yaani kuanzia 10% Kwa miaka 10 mfululizo Duniani kote ndipo zilipunguza umaskini Kwa nusu vinginevyo Hali itazidi kuwa tete.
Hii growth rates ya 4-7% ambayo tumekuwa nayo Kwa miaka zaidi ya 15 haijawahi na Wala haitakuja saidia kuondoa umaskini ππ
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1833424456926044371?t=OuBdrDykvfYDPafDjZrbMg&s=19
Pia soma World Bank: Rwanda, Uganda na DRC zitaongoza kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika Mashariki. Tanzania kushika nafasi ya 3.
Pia soma zaidi hapa WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.