IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika

Si ulitaka kujua kipi wako mbele yetu? Nakuongezea hata kiwanda Cha Magari ya umeme,Agri sector Yao Iko vizuri kushinda Tanzania na hata sekta ya viwanda mfano Sukari.
Na mimi ndio nimekwambia nilete hali ya huduma za kijamii ya Uganda!?
Yani social development ikoje!?
Ukanikataza na kudai kuwa unazungumzia yajayo.
Huo uwekezaji wote mbona hauakisi maisha ya raia kwa Uganda??
 
Wewe kabishabe kwenye nyuzi ya kuliwa kimasihara ila humu unaonyesha unaupeo mdogo sana wa kutoa mada
 
Uchumi ku jump to 10.8% ni ushahidi tosha kwamba kila kitu kitabadilika.

Uganda Wana flaiova nzuri na Kali kushinda Yz

Uganda Wana expressway toll road Entebe-Kampala 40 km Tanzania hakuna.

Mwisho: Uganda sio Nchi ya mzaha hata Sasa bila Mafuta inaongoza Ukuaji wa Uchumi Kwa 6.2%
Je ni kwamba sisi hatuna mradi mwingine ambao utaiboost Tanzania kuelekea kwe double digit. Kiwanda Cha kusafisha mafuta kitakuwa Tanga. Kwahiyo tutegemea kupata Kodi na mambo mengine kuzunguka kiwanda yataboost uchumi wa tanzania.
Badooo Kuna nickel kabanga, kiuhalisia Kuna vitu tukikomaa navyoo Bado tunaweza kuendeleza kukua.
Kwa mfano kilimo tu Kuna mazao kama ufuta yanazid kupanda na miongoni mazao yaliyoongoza kwa kuingiza pesa kati ya mazao yote. Hata waanzishe irrigation scheme kivip Dunia Bado itaendelea kuhitaji chakula kuliko uzalishaji wake na hapo ndo Europe au marekani ilipopiga gap.
Kwa mfano kiwango Cha ngani kinachozalishwa ufaransa hakifikii hata robo ya kinachozalishwa afrika na Bado wanakuja kutuuzia sisi
 
Tanga hakuna kiwanda chochote Cha Mafuta hapo ila Kuna matenki tuu ya kuhifadhia Mafuta,kiwanda linajengwa Uganda.

Miradi ipo ila sasa kama kutakuwa na muendelezo wa sera na utekelezaji.

Ugumu unakuja kwamba tunatakiwa hizo sekta zikue Kwa Kasi zaidi ya ongezeko la watu.

Sekta ya Kilimo inatakiwa ikue kwa walau asilimia 6% ndipo walau tunaweza kutafuta hiyo 10% .Kwa Sasa Kilimo kinakua Kwa asilimia 4% kutoka 2% so tunasogea ila Bado safari ni ndefu.
 
Yaishe Abdul mtoto wa mama kizimkazi.
🙏🙏🙏😂😂😂😂😂😂😂😂
Tukienda na mama hadi 2035 atalivusha Taifa hili.

Sasa Kilimo kinakua Kwa 4% kutoka 2% na lengo ni zaidi ya 6% by 2025 na 10% ya GDP itoke kwenye Kilimo ,hii ndio njia mama is doing.

Sekta zingine Wala Hazina shida zinaendelea vizuri but inatakiwa Kasi iongezeke hususani Manufacturing na Biashara.

Utalii Kwa Sasa uko sawa but is very fragile industry 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_2N3MCo7ee/?igsh=Y3B6MjF0cjhzZWZz
 
Shirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia asilimia 10.8% kuanzia mwaka 2025.

Ukuaji huo utachangiwa na kuanza Kumiminika Kwa pesa za mauzo ya Mafuta mwishoni mwa mwaka 2025.

Kasi hii kubwa ya Uchumi wa Uganda itakuza Ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo kutoka GDP ya $ 49bln (2024) Hadi GDP ya $ 120bln (2035) ambapo Wachambuzi wa Uchumi wanasema Uchumi huo utalingana Kwa Ukubwa na Tanzania.👇👇

View: https://x.com/Reuters/status/1834128627794931796?t=rBXwRZpnNB7hhcOWwp-hJQ&s=19

My Take
Kuna haja ya Tanzania kwenda kujifunza Kwa Ethiopia iliwezaje kukuza Uchumi wake Kwa double digit Kwa miaka 10 na kuzipita Kenya,Angola na Sudani kuwa Baba wa Uchumi Afrika Mashariki huku hawana Mafuta Wala gesi.

Vinginevyo Tanzania tutapitwa na Uganda Kwa Ukubwa wa Uchumi (GDP size) baada ya mwaka 2035.

Nchi zote ambazo zilipata maendeleo makubwa ni zile ambazo Uchumi wake uliwahi kujua Kwa double digit yaani kuanzia 10% Kwa miaka 10 mfululizo Duniani kote ndipo zilipunguza umaskini Kwa nusu vinginevyo Hali itazidi kuwa tete.

Hii growth rates ya 4-7% ambayo tumekuwa nayo Kwa miaka zaidi ya 15 haijawahi na Wala haitakuja saidia kuondoa umaskini 👇👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1833424456926044371?t=OuBdrDykvfYDPafDjZrbMg&s=19

Pia soma WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.

Takwimu wa IMF na World Bank sio za kuzitilia maanani sana japo ni muhimu kuzingatia

Mara kadhaa washawahi ku-project mafanikio kadhaa lakini baadae ikawa ndivyo sivyo

Kiuhalisia, baada ya kusoma kitabu cha THE CONFESSIONS OF AN ECONOMIC HITMAN ndio nikaja kuelewa kuwa sio kila takwimu huwa sahihi, baadhi hupikwa ili kupush agenda zao

Mojawapo ya matokeo chanya sana tuliambiwa WaTanzania tutapata ni kuhusu ubinafsishaji wa bandari takwimu zilitolewa nyingi sana

Nasubiria impact yake niione, maana muda ni rafiki wa kweli na ni mapema sana kusema lolote juu ya hilo
 
Je ni kwamba sisi hatuna mradi mwingine ambao utaiboost Tanzania kuelekea kwe double digit. Kiwanda Cha kusafisha mafuta kitakuwa Tanga. Kwahiyo tutegemea kupata Kodi na mambo mengine kuzunguka kiwanda yataboost uchumi wa tanzania.
Badooo Kuna nickel kabanga, kiuhalisia Kuna vitu tukikomaa navyoo Bado tunaweza kuendeleza kukua.
Kwa mfano kilimo tu Kuna mazao kama ufuta yanazid kupanda na miongoni mazao yaliyoongoza kwa kuingiza pesa kati ya mazao yote. Hata waanzishe irrigation scheme kivip Dunia Bado itaendelea kuhitaji chakula kuliko uzalishaji wake na hapo ndo Europe au marekani ilipopiga gap.
Kwa mfano kiwango Cha ngani kinachozalishwa ufaransa hakifikii hata robo ya kinachozalishwa afrika na Bado wanakuja kutuuzia sisi
Naungana na wewe,Kilimo Cha Kimkakati Cha mazao ndio iwe kipaombele chetu.

Rais eameanza ila tunataka kuweka na consistency sio akija mwingine anaacha anahamia kwingine,hili limekuwa tatizo kubwa sana kutoelewa vipaombele vya kuondoa umaskini.

Na watawala dhaifu wanakwepa Kilimo Kwa sababu wanaona kinaweza kuwaumbua ila wenye akili wanapambania Kilimo.

Kazi kubwa inaendelea kwenye Kilimo 👇👇

View: https://x.com/tzthinker/status/1835414016719532398?t=DNvoNwcDMM5GnjfUrx9I6Q&s=19

View: https://youtu.be/WgKpR1zGPus?si=LoVRSitO1Hw3ZiP2
 
Tukienda na mama hadi 2035 atalivusha Taifa hili.

Sasa Kilimo kinakua Kwa 4% kutoka 2% na lengo ni zaidi ya 6% by 2025 na 10% ya GDP itoke kwenye Kilimo ,hii ndio njia mama is doing.

Sekta zingine Wala Hazina shida zinaendelea vizuri but inatakiwa Kasi iongezeke hususani Manufacturing na Biashara.

Utalii Kwa Sasa uko sawa but is very fragile industry 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_2N3MCo7ee/?igsh=Y3B6MjF0cjhzZWZz

Ushaanza Abdul bin Kizimkazi.
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🙌🙌🙌
 
BBI ya Bashe alieiplan ni kilaza na haitokuja kua na matokeo, wale vijana aliowapeleka dodoma kama mizigo alitakiwa, awaselect kulingana nabmaeneo yao na walime hukohuko mazao yanayokubali kwao, na ahakikishe wanasimamiwa na maafisa kilimo nanushauri wapewe, Kwa mfano kijana wa usangu angebakia kwao alime mpunga ilikua kuwawezesha, haya njombe abakie kwao alime viazi
Wamekuja na wazo jipya Kila Wilaya inaandaa maeneo Kwa Ajili ya Kilimo huko huko Wilayani kwao.

Ile ya Dom ilikuwa pilot project
 
Ushaanza Abdul bin Kizimkazi.
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🙌🙌🙌
Jikite kwenye hoja.

Pinga kama Kilimo na Utalii havijakua 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_yeI6PI1RT/?igsh=czNiYjN6Z2IxM2s0
Screenshot_20240916-133754.jpg
 
Affordable living cost for every Tanzanian ndilo la msingi kwanza, hao wengine mnaowaita wana uchumi mkubwa lakini kila siku mbio mbio tu, Nchi zao hazikaliki, maisha magumu ajabu, hii ndiyo nini sasa!
 
Naungana na wewe,Kilimo Cha Kimkakati Cha mazao ndio iwe kipaombele chetu.

Rais eameanza ila tunataka kuweka na consistency sio akija mwingine anaacha anahamia kwingine,hili limekuwa tatizo kubwa sana kutoelewa vipaombele vya kuondoa umaskini.

Na watawala dhaifu wanakwepa Kilimo Kwa sababu wanaona kinaweza kuwaumbua ila wenye akili wanapambania Kilimo.

Kazi kubwa inaendelea kwenye Kilimo 👇👇

View: https://x.com/tzthinker/status/1835414016719532398?t=DNvoNwcDMM5GnjfUrx9I6Q&s=19

View: https://youtu.be/WgKpR1zGPus?si=LoVRSitO1Hw3ZiP2

Hili wala sio suala viongozi waliopita wlikua wanakwepa. Trend ya Tanzania kuwa top 5 kuzalisha mchele ni muda mrefu tu, uzuri tumeendelea kuishikilia hapo
 
Huo ni uongo wa Karne eti Msaada wa IMF wa 40%,jifunze kutofautisha mikopo na Msaada.

Mikopo ni sehemu ya Mapato ya Nchi na inalipwa.

Mambo mengine uliyoeleza sababu ziko wazi kwamba ni Kasi kubwa ya population ndio inawatatiza kiasi kwamba hiyo growth rates Yao Wameshindwa kuondoka kwenye kundi la LCD licha ya kuwa na Uchumi mkubwa Afrika.

But Imani yangu ni kwamba wakirwjea kwenye Amani na Waka sustain Ukuaji wa over 10% Kwa miaka 10 zaidi Watafika Mbali sana na kupunguza hizo Changamoto.
Ethiopia walishasustain mbona kwenye ukuaji wa average ya 10% kwa miaka zaidi ya 10. Au unazungumzia ethiopia ipi?
 
Shirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia asilimia 10.8% kuanzia mwaka 2025.

Ukuaji huo utachangiwa na kuanza Kumiminika Kwa pesa za mauzo ya Mafuta mwishoni mwa mwaka 2025.

Kasi hii kubwa ya Uchumi wa Uganda itakuza Ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo kutoka GDP ya $ 49bln (2024) Hadi GDP ya $ 120bln (2035) ambapo Wachambuzi wa Uchumi wanasema Uchumi huo utalingana Kwa Ukubwa na Tanzania.👇👇

View: https://x.com/Reuters/status/1834128627794931796?t=rBXwRZpnNB7hhcOWwp-hJQ&s=19

My Take
Kuna haja ya Tanzania kwenda kujifunza Kwa Ethiopia iliwezaje kukuza Uchumi wake Kwa double digit Kwa miaka 10 na kuzipita Kenya,Angola na Sudani kuwa Baba wa Uchumi Afrika Mashariki huku hawana Mafuta Wala gesi.

Vinginevyo Tanzania tutapitwa na Uganda Kwa Ukubwa wa Uchumi (GDP size) baada ya mwaka 2035.

Nchi zote ambazo zilipata maendeleo makubwa ni zile ambazo Uchumi wake uliwahi kujua Kwa double digit yaani kuanzia 10% Kwa miaka 10 mfululizo Duniani kote ndipo zilipunguza umaskini Kwa nusu vinginevyo Hali itazidi kuwa tete.

Hii growth rates ya 4-7% ambayo tumekuwa nayo Kwa miaka zaidi ya 15 haijawahi na Wala haitakuja saidia kuondoa umaskini 👇👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1833424456926044371?t=OuBdrDykvfYDPafDjZrbMg&s=19

Pia soma World Bank: Rwanda, Uganda na DRC zitaongoza kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika Mashariki. Tanzania kushika nafasi ya 3.

Pia soma zaidi hapa WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.

Lazima baada ya muda USA atawapelekea demokrasia
 
Back
Top Bottom