Ondoka JF katembee nchini uone projects za Samia. Kulalamikia mikopo tu bila kuangalia deliverables kama SGR, barabara za Dodoma, Mwendokasi DSM, Bwawa la umeme, Hospitali za Wilaya, Vituo vya afya, shule na mabweni ya sekondari etc, siyo kitu sahihiMikopo sio mizuri .
Mnakopa Ila mnachofanya hakionekani miaka 60 yote Ila bado mme -stuck
Mnahidi barabara , Maji ,matundu ya choo na Tisheti .
mnalilia pesa ambazo hamna uwezo wa kuzitumia vizuri ili kujiletea maendeleo.
Yaani upo hapa unashangilia mikopo
Sijui mnakuwa kwa style gani.
Tuna bahati ya kuwa navyo kiasi.Mafuta na gesi and minerals
Hela mlizokopa na miradi ambayo ni viraka alivyoacha Magufuli unaona vinaendana.Ondoka JF katembee nchini uone projects za Samia. Kulalamikia mikopo tu bila kuangalia deliverables kama SGR, barabara za Dodoma, Mwendokasi DSM, Bwawa la umeme, Hospitali za Wilaya, Vituo vya afya, shule na mabweni ya sekondari etc, siyo kitu sahihi
WAnauza Oil na Gas.Nawaza tu Irani haijawahi kukopeshwa imewezaje na ni sanction kwenda mbele.
Nyie msioimba no reforms no election kwanini hamkuwahi kuzuia deni la Taifa kufika 107 trillion na sasa plus huo mkopo mpya wa IMF?Kazi yaoni kuimba tu no reforms no election
We chawa hukuzijua sababu za kuhailishwa kuvunjwa kwa bunge? Unadhani hizo pesa zimetolewa tu bila masharti? Unahitaji kurudi shule haraka, maana akili yako ni kama kiongozi wenu tu....IMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuidhinisha kiasi hiko kupitia kikao chake kilichohitimishwa Juni 27, 2025.
Fedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 sawa na dola milioni 155.7 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.
Soma Pia: IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18
Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 sawa dola 292.7 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Soma thechanzo.com/2025/06/28/imf…
Miradi ya Magufuli hakuna hata mmoja ukifika 40%. Acheni chuki isiyo na sababu jamani. Mama kapiga kaziHela mlizokopa na miradi ambayo ni viraka alivyoacha Magufuli unaona vinaendana.
Ukililia pesa lazima ujue na kuitumia sio ubakimbilia kukopa kopa huku unachofanya hakionekani
Wewe pimbi acha unajimu uchwara hapa. IMF na WB ni business entities hizo ujinga zenu za Reforms hazina nafasi kwaoWe chawa hukuzijua sababu za kuhailishwa kuvunjwa kwa bunge? Unadhani hizo pesa zimetolewa tu bila masharti? Unahitaji kurudi shule haraka, maana akili yako ni kama kiongozi wenu tu....
View attachment 3386889
Jamani mmeshindwa hata kumuuliza kijana mdogo Captain, Ibrahim Traore ambaye kitaaluma ni mjiolojia tu amefanya nini kuiondoa nchi yake kwenye madeni kwa muda mfupi?Deni la wananchi, pesa za Mama
Hizi zilisainiwa awamu ipi ya Uongozi? Nauliza lengo tusije kubebesha awamu ya Uongozi Fulani Mzigo ambao si wakeIMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania,
Still tunaweza kuwashawishi wasitoe hizo fedha. Tutakuwepo. Kaa kwa kutulia tukuonyeshe.Kwani IMF wanakopesha tu kwa vile unataka? Wanafanya due diligence ya kutosha. If you have poor credit rating you get disqualified
Unajivunia kukopa, wewe mjinga sanaIMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuidhinisha kiasi hiko kupitia kikao chake kilichohitimishwa Juni 27, 2025.
Fedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 sawa na dola milioni 155.7 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.
Soma Pia: IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18
Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 sawa dola 292.7 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Soma thechanzo.com/2025/06/28/imf…
Mungu Wabariki WazunguIMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo kuidhinisha kiasi hiko kupitia kikao chake kilichohitimishwa Juni 27, 2025.
Fedha hizi ni pamoja na shilingi bilioni 405.1 sawa na dola milioni 155.7 kwa ajili ya program za Extended Credit Facility(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa nchi kupitia sekta za uzalishaji na huduma za jamii pamoja.
Soma Pia: IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18
Kiasi kilichobaki cha shilingi shilingi bilioni 761.6 sawa dola 292.7 ni kwa ajili ya Programu ya Resilient and Sustainable Fund (RSF) inayotekelezwa kwa lengo la kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Soma thechanzo.com/2025/06/28/imf…
Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) kuipatia Tanzania kiasi cha shilingi trilioni 1.2 ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 448.4 punde
Leta pesa tupige maendeleoIMF Yaidhinisha Mkopo wa Trilioni 1.2 kwa Tanzania, Yaridhishwa na Hali ya Uchumi ; wale wa NRNE mnasemaje?