IMF Yaidhinisha mkopo wa Tsh 1.2 Trillion kwa Tanzania

Kwani IMF wanakopesha tu kwa vile unataka? Wanafanya due diligence ya kutosha. If you have poor credit rating you get disqualified
It's not only about the so called "poor credit rating" to be disqualified...

There are other factors in checking...

One of them are: Promotion of human rights, adhehering to the rule of laws as reflected through free, justly, fair and open elections..

If you think, you will just get that money simply like that, you are absolutely mistaken. They are just on papers. They need some commitments before the release..

Remember: NO REFORMS NO ELECTION movement is trending across the iborders and all international financial organizations and donors country/institutions of such: IMF, WB, ADB, European Unions, USAID etc...

We are closely watching you...

Kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri kuwa shetani hawezi kushinda watu wa Mungu..!
 
Habari za Ibrahim Traore hazina ukweli bali ni Internet buzz tu ya kupatia views au click baits. Don't believe anything kuhusu Burkinafaso mpaka ufike
 
Asante kwa ufafanuzi
 
We matacle hujui chochote. Hakuna mkopo usio na masharti kwa nchi masikini, puumbafu. Moja ya masharti kwenye hizo pesa ni CDM kushiriki uchaguzi mkuu, ndio sababu ya CCM kuhailisha kuvunja bunge ili watafute mbinu ya kuzipata.
Hakuna muda wa kubembeleza waliosusa
 
Hawakawii kusema hao IMF wamehongwa na Abduli! Ahahahahaha!!
 
Hii mikopo huwa wanakukopa ili uwarudishie pesa zao.

Africa tubadilishe mfumo wetu wa elimu ni changamoto kubwa.

Pesa za IMF na ndugu yake World bank huwa wanapeleka pesa ambazo wanajua katika huo mzunguuko wa pesa nao zitawarudia.

Hizi pesa kama zingekuwa zinatumika kwaajili ya kutatua changamoto za Africa angalau hata kwa asilimia 60 tu basi tungekuwa mbali sana.

Ila huwa zinaliwa na kidogo ndio zinapelekwa kwenye shughuli lengwa.
 
Miradi ya Magufuli hakuna hata mmoja ukifika 40%. Acheni chuki isiyo na sababu jamani. Mama kapiga kazi
Ufisadi ulofanyika kwenye serikali hii ni wa kutisha sana, watu wanajichotea pesa kama wanachota maji baharini, bahati nzuri kiongozi alishawaruhusu kula kwa urefu wa kamba zao. Tukumbushe siku Rais alishawahi kukemea ufisadi kwa msisitizo kabisa. Pesa zinazokopwa nyingi zinaishia kwenye mifuko ya watu, af wananchi ndo wanahangaika kulipa deni. Rasilimali tulizo nazo, haziendani na maisha halisi ya mtanzania wa kawaida baada ya miaka 63 ya uhuru, we are too far behind. Na Muhula huu ndo imekua worse, Raisi anapenda nyimbo za sifa na kuabudiwa tu.
 
Wanaomdai hawajakanusha, kuwa wamelipwa madeni yao yote.
 
Deni la mama
 
bil 700 kupambana na mabadiliko ya tabia nchi! kivipi? deni linalipwaje? hivi hizi shida zilihitaji mkopo kweli?
 
Weka ushahidi wa fedha zilizoliwa hapa, otherwise ni ngonjera za kawaida
 
Wewe unayedhani kila unachosoma kuwa ni maendeleo ndiyo uthibitishe.
Weka ushahidi tu.
Cap Ibrahim Traoré, kiongozi wa Burkina Faso tangu mapinduzi ya mwaka 2022, amejikita katika kushughulikia migogoro ya usalama na uhuru wa kiuchumi, lakini mabadiliko halisi ya kiuchumi bado ni madogo. Serikali yake inasisitiza utaifa wa rasilimali, hasa kwa kuanzisha kampuni ya dhahabu ya taifa ili kuhifadhi faida za madini, na imeahidi uwekezaji katika miundombinu.

Hata hivyo, uchumi wa Burkina Faso unakabiliwa na changamoto kubwa: ghasia za wanamgambo wa Kiislamu zinavuruga kilimo (sekta muhimu), mfumuko wa bei ulifikia takriban 4% mwaka 2023, na ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) umeendelea kuwa wa wastani (~3.3% mwaka 2023, kulingana na Benki ya Dunia). Vikwazo vya kiuchumi baada ya mapinduzi na kupungua kwa misaada ya kigeni vimeathiri fedha za umma.

Ingawa mitandao ya kijamii inasifu hotuba za kupinga ukoloni na miradi ya ndani, vikwazo vya kimfumo—kutokuwepo kwa usalama, umaskini, na utegemezi wa mauzo ya bidhaa zisizo na uthabiti—vinazuia mabadiliko makubwa ya kiuchumi. Madai ya mageuzi makubwa yamezidishwa kuliko uhalisia.
 
Kabla ya kunadi vitu hovyo, walau kwanza jiridhishe, Extended Credit Facility (EFC) inatolewa kwa mazingira gani na qualified recipients.
 

kushangilia upumbavu! nchi inawekwa rehani nyie mnashangilia?

Kwa rasilimali tulizonazo tunapaswa kukopesha nyinyi mambumbumbu mnashangilia kukopeshwa. Ni lini IMF ikawa na nia njema na haya mataifa yenye ujinga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…