IMF Yaidhinisha mkopo wa Tsh 1.2 Trillion kwa Tanzania

Tunasemaaa Madeni ni sio kitu cha kujivunia ,ni moja ya sifa ya umasikinii.

Naa kunguanii na kichawa kimoja mwenye upungufu mkubwa wa akili pekee ndio anayeweza kujisifia Mkopo.

Asiyejua mkopo unafanyiwa nini akati miradi mingi nchi nzima imesimama

Mfano tuu mdogo kwa kanda ya Ziwa.

Hivyo no reform no elections.
Huo ndio msimamo wa wananchi
Hata kama mtawabeba kwa malori
 
Zote zitaishia Dubai na Oman!
Kama siyo maposho yao, ma v8 na majumba!
IMF wamewaletea mafisadi pesa wazidi kuneemeka!
Tusisahau hilo ni deni la mama tena!
 
Methali 22:7 β€œTajiri humtawala maskini; Na mwenye kukopa ni mtumwa wa mwenye kukopesha.”
Methali 13:11 β€œMali ipatikanayo kwa haraka hupungua; Bali akusanyaye kidogo kidogo huiongeza.”
 
Miradi ya Magufuli hakuna hata mmoja ukifika 40%. Acheni chuki isiyo na sababu jamani. Mama kapiga kazi
Kwa hiyo kukopa mihela hovyo hovyo ndio kupiga kazi? Kiendo cha kukopa tu na kufanya allocation ya fedha huku nyingi zikiingia mifukoni mwa watu nayo ni kitu cha kujivunia? Hakika kichwa chako ni mzigo mzito Kwa shingo!
 
kushangilia upumbavu! nchi inawekwa rehani nyie mnashangilia?

Kwa rasilimali tulizonazo tunapaswa kukopesha nyinyi mambumbumbu mnashangilia kukopeshwa. Ni lini IMF ikawa na nia njema na haya mataifa yenye ujinga mwingi.
Utamkopesha nani kwa mali ulizonazo? Wewe unayo teknolojia ya kuchimba gesi?

Au unadhani kuchimba gesi ni sawa na kutoa ushuzi baada ya kula mayai ya kuchemsha na maharage kisha kuteremshia na Pepsi?
 
Hapo linaenda kifika 110T hata kabla ya uchaguzi. Hapo nusu inaishia mikononi mwa maccm
 
Tanzania bara hii barabara za mikoani choka mbaya kila mkoa..? Jamaa ana tuona mafwala kuwa hatutembei.. mabarabara mabovu mno hembu kapande bus tokea mwanza au musoma mpaka dodoma au Arusha na panda tena kutokea morogoro mpaka songea. Barabara mbovu kishenz
 
Katika nchi za Afrika zenye uchumi mkubwa hakuna nchi isiyokopa ukiacha South Africa, Morocco & Algeria. Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kujenga uchumi na mikopo. Usipokopa huwezi kukuza uchumi. Angalia hapa:-
 
Nchi 10 zenye uchumi mkubwa Africa hizi hapa:-
 
sasa hivi dar dodoma kwa gari masaa saba, sgr booking imejaa siku tatu mbele, bado tunakopa hela za "kuratibu tabia nchi" hivi kweli tunafikiri sawasawa?
 
We mbwa kum@ ,mbwa takataka na ukoo wako mtailipa hii mikopo kwa ongezeko la kodi na gharama za bidhaa na huduma mpaka mnakufa , hii mikopo inayowafaidisha vibaka wa CCM na si wananchi
Halafu mseng€ kama wewe unakenua tu kama malaya wa kimboka
πŸ–•kalio kidole hicho
 
Hata wakopeshwe trillions of USD hii nchi hamna kitakacho badilika interms ya maisha kwa mwananchi wala uchumi wa nchi , parasites wa mfumo ovu wa uongozi nchi ulio chini ya genge la vibaka ccm ndio beneficiaries wa hiyo mikopo kupitia ufisadi , namshangaa fala anayefurahia huo mikopo inayochochea enslavement ya taifa .
 
Kwa hiyo kukopa mihela hovyo hovyo ndio kupiga kazi? Kiendo cha kukopa tu na kufanya allocation ya fedha huku nyingi zikiingia mifukoni mwa watu nayo ni kitu cha kujivunia? Hakika kichwa chako ni mzigo mzito Kwa shingo!
Imeingia mfuko wa nani?
 
USA mwenyewe ambaye ni Taifa kubwa na lenye uchumi mkubwa duniani nalo linakopa, sembuse ya hizi developing countries??
 
Povu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mikopo tunalipa Toka uhuru.

Ulitaka nani akulipie hela ambazo zimetumika kukuletea maendeleo?

Wewe ni lipumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…