IMF yaidhinisha ufadhili wa Dola Milioni 900 kwa Tanzania kwa ajili ya Bajeti na kukabiliana na Mabadiliko ya hali ya Hewa

Acha uongo, mkopo wa Nyerere ulimlizwa na Mkapa na sehemu Fulani Kikwete. Nyerere aliacha Deni Trilioni 3.
Alikudanganya nani? Pili Kwa nini alikopa Sasa kama mikopo haitakiwi?

Mwisho Mkapa hakulipa deni Bali alisamahewa na Wazungu via HIPC
 
Yaani tunakopa pesa kwa kuyakabili mazingira wakati huo huo tunagawa mitungi ya gesi ? Tungewekeza kwenye Nishati na vyanzo vyetu na sisi kutumia umeme tungesaidia sana mazingira na hata kuwasaidia wenzetu ...

Na kuhusu IMF ambao watu wanadhani ni wajomba zao ngoja tuangalie upande mwingine

View: https://www.youtube.com/watch?v=zI2vIWw60RM
 
Kuna asilimia itakayoishia mifukoni mwa wenye madaraka nchi hii ya upigaji madili na wizi wa fedha za umma,wakati wa watoto wetu kukamuliwa kulipa wao watakuwa kwenye kasri zao Dubai na Australia.
 
Bado tu mikopo. Dollar 900 millioni sawa na T.shs. 2.7 trillioni.
 
Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi.

Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi kiholela.

Aidha ieleweke kwamba Nchi inakopeshwa Kwa sababu Ina uwezo wa kulipa kulingana na uimara wa Uchumi wake. Sio Kila Nchi inapewa Mkopo.

My Take: Katika kipindi hiki Nchi inatekeleza miradi mikubwa ya Maendeleo, Tuendelee kukopa kwani mikopo inaharakisha maendeleo hususani Miradi ya kimkakati

==============

Shirika la kimataifa la fedha (IMF) Alhamisi limesema bodi yake ya utendaji imeidhinisha ufadhili wa dola milioni 786.2 kwa Tanzania kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Shirika hilo la kifedha linakamilisha pia tathmini tofauti ya kuruhusu malipo ya dola milioni 149.4 kwa ajili ya msaada wa bajeti.

Mamlaka za Tanzania zina dhamira ya kuendelea kutekeleza mageuzi ya kudhibiti uthabiti wa kifedha, kuimarisha ufufuaji wa uchumi, kukuza ukuaji endelevu na shirikishi, IMF ilisema katika taarifa.

Katika miaka mitatu iliyopita, utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan ulifanya mageuzi mbalimbali ya kiuchumi kwa lengo la kurudisha ukuaji wa uchumi katika kiwango cha ukuaji wa pato la taifa la kabla ya janga la Covid wa asilimia 6 hadi asilimia 7.

Mpango wa mageuzi ya uchumi wa Tanzania bado umeendelea kuwa imara, IMF imesema, na kuongeza kuwa ukuaji wa uchumi uliongezeka mwaka 2023 baada ya kupungua mwaka 2022.

Uchumi wa Tanzania ambao unategemea utali, madini, kilimo na viwanda, umeendelea kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa yanayochochewa na kuongezeka kwa sekta ya huduma, kulingana na Benki ya Dunia.

Uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.4 mwaka huu, kutoka asilimia 5.1, waziri wa mipango na uwekezaji katika Ofisi ya Rais, Kitila Mkumbo alisema wiki iliyopita.

DW Kiswahili

PIA, SOMA:
Safi sana IMF,mwaga Dola

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1804124575808037092?t=C4ZijAWNVQX1hMyd4syrmA&s=19
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuaminiwa na kuaminika katika mashirika na taasisi mbalimbali za kimataifa ,kutokana na mabadiliko makubwa ya kisera na ukuaji wa uchumi unaokua kwa kasi kubwa sana.unaotokana na sera nzuri ambazo zimevutia wawekezaji wengi pamoja na mitaji mikubwa mikubwa kutoka nje ya Nchi.

Sasa habari njema ni kuwa Bodi fa utendaji ya shirika la fedha la kimataifa limeidhinisha mkopo wa Dolla Millioni 900+ sawa na Trilioni 2.45 pesa za kitanzania. hii ni baada ya Tanzania kukidhi vigezo vyote vilivyopimwa na kutumika .

Lakini pia Bodi ya utendaji ya IMF imeridhishwa na ukuaji wa uchumi hapo mwaka jana pamoja na udhibiti wa mfumuko wa Bei. Pesa hizo zitumika katika Bajeti ya juu ya serikali kiasi cha Billion 392.17 na zingine kiasi cha Trilioni 2 na point zitakwenda katika kugharamia mpango wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kupitia miradi mbalimbali itakayoanzishwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20240621-155841.png
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuaminiwa na kuaminika katika mashirika na taasisi mbalimbali za kimataifa ,kutokana na mabadiliko makubwa ya kisera na ukuaji wa uchumi unaokua kwa kasi kubwa sana.unaotokana na sera nzuri ambazo zimevutia wawekezaji wengi pamoja na mitaji mikubwa mikubwa kutoka nje ya Nchi.

Sasa habari njema ni kuwa Bodi fa utendaji ya shirika la fedha la kimataifa limeidhinisha mkopo wa Dolla Millioni 900+ sawa na Trilioni 2.45 pesa za kitanzania. hii ni baada ya Tanzania kukidhi vigezo vyote vilivyopimwa na kutumika .

Lakini pia Bodi ya utendaji ya IMF imeridhishwa na ukuaji wa uchumi hapo mwaka jana pamoja na udhibiti wa mfumuko wa Bei. Pesa hizo zitumika katika Bajeti ya juu ya serikali kiasi cha Billion 392.17 na zingine kiasi cha Trilioni 2 na point zitakwenda katika kugharamia mpango wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kupitia miradi mbalimbali itakayoanzishwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3022243
Umechelewa hii imeletwa na ChoiceVariable tangu asubuhi sana.
 
Mods ungamisha Kuna Uzi kama huu tayari
 
Nchi inaenda kukopa dollar million 900 wakati wazuri anaiba zaidi ya dollar million 100 what a shitty country
 
Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi.

Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi kiholela.

Aidha ieleweke kwamba Nchi inakopeshwa Kwa sababu Ina uwezo wa kulipa kulingana na uimara wa Uchumi wake. Sio Kila Nchi inapewa Mkopo.

My Take: Katika kipindi hiki Nchi inatekeleza miradi mikubwa ya Maendeleo, Tuendelee kukopa kwani mikopo inaharakisha maendeleo hususani Miradi ya kimkakati

==============

Shirika la kimataifa la fedha (IMF) Alhamisi limesema bodi yake ya utendaji imeidhinisha ufadhili wa dola milioni 786.2 kwa Tanzania kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Shirika hilo la kifedha linakamilisha pia tathmini tofauti ya kuruhusu malipo ya dola milioni 149.4 kwa ajili ya msaada wa bajeti.

Mamlaka za Tanzania zina dhamira ya kuendelea kutekeleza mageuzi ya kudhibiti uthabiti wa kifedha, kuimarisha ufufuaji wa uchumi, kukuza ukuaji endelevu na shirikishi, IMF ilisema katika taarifa.

Katika miaka mitatu iliyopita, utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan ulifanya mageuzi mbalimbali ya kiuchumi kwa lengo la kurudisha ukuaji wa uchumi katika kiwango cha ukuaji wa pato la taifa la kabla ya janga la Covid wa asilimia 6 hadi asilimia 7.

Mpango wa mageuzi ya uchumi wa Tanzania bado umeendelea kuwa imara, IMF imesema, na kuongeza kuwa ukuaji wa uchumi uliongezeka mwaka 2023 baada ya kupungua mwaka 2022.

Uchumi wa Tanzania ambao unategemea utali, madini, kilimo na viwanda, umeendelea kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa yanayochochewa na kuongezeka kwa sekta ya huduma, kulingana na Benki ya Dunia.

Uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.4 mwaka huu, kutoka asilimia 5.1, waziri wa mipango na uwekezaji katika Ofisi ya Rais, Kitila Mkumbo alisema wiki iliyopita.

DW Kiswahili

PIA, SOMA:

Mikopo sio sifa! matumizi ya pesa mazuri ndiyo muhimu.
 
Nimeipenda hoja ya mabadiliko ya hali ya hewa, ama tabia nchi, that is a kind way of using opm, (other peoples money)
 
Nchi inauzwa - watanganyika wamelala fofofo.
mikopo kausha damu kila uchao - ni nchi gani hiyo kukopa kila kukicha.?
 
Back
Top Bottom