IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

Mabeberu ,mabeberu mbona mmewapigia Magoti Sasa ,tutoe barua mnaomba radhi?
 
Mtu akiwa anakudai laki tatu then siku ya siku kutokana na uhohe hahe wako akaona huruma na kukuambia kuwa badala ya kunilipa laki tatu nilipe laki moja tu hiyo nyingine tumia ikusaidie kwenye matatizo yako,unaenda ukipiga kifua kuwa wewe ni mshindi?
Mbona umeumia sana?
 
Reactions: Dua
Deni la Taifa ni 56 trillions tumesamehewa 33 billions tu ya deni la Taifa au sawa na approximately na 6% ya deni la Taifa. Kelele zinazopigwa utadhani tumesamehewa 50% ya deni la Taifa,
 
Deni la Taifa ni 56 trillions tumesamehewa 33 billions tu ya deni la Taifa au sawa na approximately na 6% ya deni la Taifa. Kelele zinazopigwa utadhani tumesamehewa 50% ya deni la Taifa,
Deni ni deni tu kama anayekudai anakupa/unapata nafuu sio mbaya ukitilia maanani kwamba madeni mengi ya nchi za Afrika ni ya dhuluma tu! Nchi za Afrika zianze sasa kuweka kiwango cha pesa zake against gold tuone kama tutakuwa tunadhulumiwa kila uchwao.
 
Hatuna athari tuliendelea kuchapa kazi kwa kipindi chote, hayo mabeberu yanajipendekeza tu....
Athari imetokea na hasa sekta ya utalii. Wafanyakazi wengi walirudi makwao bila mishahara
 
Mkuu sijaona kama kuna mahali imeandikwa wamepewa ni grants,mimi nimesoma ni loans.Historia inaonyesha mkopo mingi inaishia kuliwa na viongozi,Nchi ndio unayolipa huo mkopo pamoja na riba.
 
Si wote watakao liita jina la bwana watauona ufalme wa mbinguni.
Kisa anakitaja jina la Mungu.. haimaanishi ni mtumishi. Watu kibao wanalitaja jina la Mungu na bado wana wanafanya madhambi kibao.
 
As if unaishi na Mungu sebule moja hahaha
Ajuaye kifo cha mtu ni Mungu pekee. Wengine waganga njaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…