IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

Hio pesa ni kwa ajili ya effects za corona kwenye biashara na utalii.

Hata kama Tz imetangaza haina corona ila bado uchumi umeyumba.

Tulipaswa tuombe na tupewe pesa nyingi kama majirani zetu.
 
Si corona imeisha, za nini? Kwanza watazitumia kwenye kwenye covid-19 relief? Na wazungu ni hopeless! Wanajua tabia ya watawala wa kidikiteita , wameshasahau! Hawa inabidi wakumbushwe kila mara!
 
Sio za kupambana na corona. Ni za kujiboost kutokana na athari za corona kwa jamii na uchumi. Wanajua kama imekwisha hao jamaa.
Hatuna athari tuliendelea kuchapa kazi kwa kipindi chote, hayo mabeberu yanajipendekeza tu....
 
Vipi Zitto Kabwe hakuzinusa hizi habari mapema akawazuie?
 
Acha uongo Kenya , uganda na rwanda kwa ukanda wa EAC wamepewa mikopo yenye riba.Tanzania kapewa debt relief ya 33bil with no cost
 
Najua shida yenu hapo nikutokujua kimombo umeleta hapa tukupe tafsiri pimbi wewe....hizo takribani 33b n ushee ndio deni mtakaloacha kulipa kwa miezi mnne sasa kama unakusanya 1.2trl unashindwaje kulipa hio 33b za kibongo pimbi weee
Yaani upeo wako ni finyu kiasi hicho mpaka unaishiwa maneno ya staha! Sihitaji tafsiri kwa juha Kama wewe! Ufahamu wako finyu ndio umekufikisha kutafsiri hivyo!
 
Najua shida yenu hapo nikutokujua kimombo umeleta hapa tukupe tafsiri pimbi wewe....hizo takribani 33b n ushee ndio deni mtakaloacha kulipa kwa miezi mnne sasa kama unakusanya 1.2trl unashindwaje kulipa hio 33b za kibongo pimbi weee
Kwa hiyo ukikusanya 1.2 tr, zote unazitumia kulipa deni? Yaani nchi haina matumizi mengine? Hii pasua kichwa? Hata hivyo wito wa debt releaf ulitolewa na Magu na imekubaliwa. Kwa sisi wahasibi hiyo inaingia kwenye vitabu kama "mapato" na kisha inatoka kama "matumizi" ili kuweka uzania sawa wa mahesabu vitabuni.
 
Aise wameipa?soma vizuri Basi wamesamehe 33b kwa miezi minne wasilipe hilo deni baada ya miezi hio tajwa wanatakiwa kuendelea kulipa
 
Yaani upeo wako ni finyu kiasi hicho mpaka unaishiwa maneno ya staha! Sihitaji tafsiri kwa juha Kama wewe! Ufahamu wako finyu ndio umekufikisha kutafsiri hivyo!
Huna uwezo wa kufikiri pimbi wewe najua hapo Lumumba mna uhaba wa lugha hio
 
Habari mbaya sana kwa machadema.
Tuliambiwa Kenya,Rwanda na uganda wanatumikia mikopo walitopewa Ila donor country hatuombi mkopo? Je huu mkopo utafungua ukurasa mpya? Au data za corona zinatumwa moja kwa moja kwa beberu?
 
Machadema yanazidi kula vumbi, nendeni mkamsalimie ndg yenu alizidisha faru john!
JPM ni rigi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…