IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

Ethiopia wana nini mbona raia wake wanafia kwenye makontena wakitoroka nchi.
Uchumi wa Ethiopia ni mkubwa lakini ni mali ya Serikali. Unapokuja sasa kwenye suala la income redistribution ndiyo unaona umaskini wa mtu mmoja mmoja. Ni kweli raia wa Ethiopia ni maskini sana kwq kuwa wana athirika na vita vya wenyewe kwa wenyewe, ukabila na sera mbovu za serikali
 
Wewe ni muongo pamoja na chuki zako kwa Jiwe, kweli jamaa lilikuwa dikteta ila nakumbuka wakati wake uchumi wetu ulikuwa namba 9 Afrika, huku Kenya wakiwa wa 7.
Mamako katurudisha nyuma kwa nafasi moja zaidi kwa kurembulia mafisadi.
 
Wewe ni muongo pamoja na chuki zako kwa Jiwe, kweli jamaa lilikuwa dikteta ila nakumbuka wakati wake uchumi wetu ulikuwa namba 9 Afrika, huku Kenya wakiwa wa 7.
Mamako katurudisha nyuma kwa nafasi moja zaidi kwa kurembulia mafisadi.
Uchumi ambao ni public driven expenditure Huwa hauna maana Wala hauna muendelezo maana ndio ulioko huko Ethiopia na watu wanakimbia.

Uchumi mzuri ni ule ambao unaendeshwa na sekta binafsi na Serikali kazi yake ni kuchaguza tuu.

Ila hii ya kila zinafanya taasisi za Serikali hakuna uchumi hapo ila ni Kuzalisha maskini.

Mwisho takwimu hizi hapa 👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1782411632104165637?t=GkWQ60-A6hrtP-JGrA4Q3g&s=19
 
Kwani ni mara ya kwanza Tanzania kuwa top 10? Iko hivyo miaka yote isipokuwa Kasi ya kukua uchumi Kwa Sasa ndio kubwa.

Kuna kipindi Ghana ilitupita ila tumepindua meza
Wewe Bibi ushungi acha kujisifia kila siku, uchumi hujakuza wewe. Hii yote ni matokeo ya Infrastructure investment alizofanya “Yule Bwana”, na ndizo hasa hadi kesho utaona hii nchi GDP inakua. Mwakani ndiyo utashangaa kabisa itafika almost 100 USD kama zile megawatts 4000 zitazalishwa. Kukua kwa GDP siyo kukopa kulipa mishahara. Ni kuinvest kwenye treni au barabara wananchi wakitumia unakusanya pesa na kulipa mishahara. Unauza umeme unakusanya kodi unalipa mishahara. Kitu kingine unaboresha sekta binafsi.
 
Unaonekana mjinga ,unaijua hata formular ya GDP?
 
Hakuna aliyemkaribia Kikwete!
Sukuma gang wanataka kulazimisha mazuri ya Samia yawe ya Marehemu wao wakati they Had full period of more than 5 years na hawakutuonesha huo Ukuaji kipindi chao zaidi ya pambio za Uchumi wa Kati.
 
Tatizo la watanzania (baadhi, hasa chawa) ni kupenda kujisifu kwa vitu hata wasivyoelewa. Wanachojua tu ni 'pongezi kwa mama '. GDP, kama ilivyoletwa hapo na mleta mada ni pato ghafi jumla la taifa, ambalo ukigawia kwa idadi ya raia wa taifa husika, unapata Pato la wastani kwa kila raia wa nchi hiyo (GDP per Capita). Mfano: Tanzania GDP = $85 bil. ÷ 60mil. (population) =$ 1,417 approx; ndio pato la wastani la mtanzania kwa mwaka. Nchi ya Equatorial guinea GDP = $10bil. ÷ 1.7mil. (population) = $ 5.9mil. approx; ndio pato la Equato Guinean kwa mwaka. Kwa hiyo utaona Pato la wastani kwa raia wa E. Guinea ni zaidi ya mara nne ya lile la mtanzania. Tanzania ni nchi masikini- tena sana, ila hatungepaswa kuwa masikini- kiasi hiki kwa vile tuna rasilimali nyingi mno. Tatizo ni viongozi tulip nao (serikali ya ccm), ndio wa kulaumiwa. Serikali inapaswa kusimamia vizuri rasilimali za taifa hili, na kuwa na sera nzuri za kuvutia uwekezaji wenyewe tija, si Kila kitu unampa mwarabu kwa bei ya kutupa. Sasa hapa watu kazi kuimba tu mapambio mara pongezi, anaupiga mwingi, haijawahikutokea nk. Nasikia kuna 'slim' alisema 'nipeni hiyo bandari kila mwaka niwape pesa inayotosha bajeti yenu na mimi nibaki na faida'. Hata kama sio kweli angeweza kutupa pesa nyingi hivyo, lakini angalia ni kiasi gani anatudharau kwamba hatuwezi kusimamia rasilimali zetu.
 
Naomba kujua mana hua naichukulua poa
Kuna mda amefafanua vizuri kwenye comments za hapo awali.

Ethiopia Ina Pato ghafi kubwa na imeendelea sana tuu isipokuwa Wingi wa watu ukija kugawa na Pato lake Bado Iko kwenye Nchi maskini zaidi LDC ambako sisi Tanzania hatupo.

Ila ukienda kwenye Miji Yao na kulinganisha na sisi wametuzidi sana tuu but Kwa kuwa maendeleo sio mjini tuu na maendeleo ni watu popote waliopo basi tumewazidi ubora wa Maisha.
 
Nafahamu Huwa Wana Ukuaji mkubwa wa Uchumi unaoletwa na zao la cocoa ambalo Lina bei ya Juu Dhahabu ikasome ila Hadi kuzipita Tanzania na Ghana ni Kasi kubwa.

Kuna Nchi ya Senegal ni Tajiri wa gas ila siioni kwenye list hapa.
View attachment 2973634
Kitu kama mwaka 2022 kurudi nyuma Ghana alikuwa ana tukimbiza Tanzania ile mbaya ila sasa hivi tume mpita.
 
Uko sahihi linapokuja Suala la per Capita income kulingana na idadi yetu Bado Tzn ni maskini sana tuu.Pamoja na huu ukweli haiondoi uhalisia kwamba Pato ghafi ni kubwa kuzidi hao Equatorial Kwa maana nyingine tuna material possessions kubwa zaidi kushinda kwao.

Au unasema Kwa Uchumi wao wanaeza kununua ndege 5 na Tanzania ndege 20.
 
Mama anaupiga mwingi...
 
Finally, the comment I was looking for.
 
Kitu kama mwaka 2022 kurudi nyuma Ghana alikuwa ana tukimbiza Tanzania ile mbaya ila sasa hivi tume mpita.
Ameyumba sana miaka 2 iliyopita Hadi Kushindwa kulipa.madeni.

Japo Kwa Uchumi wao huo na idadi ya watu ukitafuta per Capita income wametuzidi parefu japo ukija kwenye real term value let say purchasing power parity naona wako vibaya Kwa sababu ya very high inflation(kwamba pesa Yao inanunua vitu vichache kuliko ya kwetu).
 
Nafahamu Huwa Wana Ukuaji mkubwa wa Uchumi unaoletwa na zao la cocoa ambalo Lina bei ya Juu Dhahabu ikasome ila Hadi kuzipita Tanzania na Ghana ni Kasi kubwa.

Kuna Nchi ya Senegal ni Tajiri wa gas ila siioni kwenye list hapa.
View attachment 2973634
@ erythrocyte njoo huku uangalie mama anaupiga mwingi wee kaa huko unapata pressure ya bure vivaaa mamaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…