Ninaandika kitabu kwa lugha ya kiingereza ili kikasomwe na wazungu watoa misaada.
Kitabu hiki kinaelezea kiburi na ukiziwi wa rais Samia kwenye vilio vya watanzania juu ya utekaji na mauaji kana kwamba yuko ndani ya jeneza.
Nitaomba baadhi ya inputs zenu nikifika kwenye hatua ya kumaliza.
Tutaelewana tu