Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
unapinga ukitokea wapi. Na kuna uwezekano mkubwa hapo ulipo umevaa nguo zao za msaada (mtumba)Kama watu wenyewe ndiyo nyie, kweli lazima waikamate!
JESUS IS LORD&SAVIOR
unapinga ukitokea wapi. Na kuna uwezekano mkubwa hapo ulipo umevaa nguo zao za msaada (mtumba)Kama watu wenyewe ndiyo nyie, kweli lazima waikamate!
Acha kuliaibisha Jina la Yesuunapinga ukitokea wapi. Na kuna uwezekano mkubwa hapo ulipo umevaa nguo zao za msaada (mtumba)
JESUS IS LORD&SAVIOR
Sexless,trans gender,lqpt,Ninaandika kitabu kwa lugha ya kiingereza ili kikasomwe na wazungu watoa misaada.
Kitabu hiki kinaelezea kiburi na ukiziwi wa rais Samia kwenye vilio vya watanzania juu ya utekaji na mauaji kana kwamba yuko ndani ya jeneza.
Nitaomba baadhi ya inputs zenu nikifika kwenye hatua ya kumaliza.
Tutaelewana tu
Bams kapotelea wapi?The book will be published in Kenya and sold through Amazon. So I'm a hundred miles ahead of the sycophants.
Mmachame ni msaliti wa kimataifa,mafia kweli Org.Bwana wee mkojani huyu alikula dili na mmachame wakaandaa maigizo bibi akaenda kuhudhuria hafla ya bawacha nikajikuta nimeingia KING
Jamaa msanii sana yuleMmachame ni msaliti wa kimataifa,mafia kweli Org.
Angalieni hii mbwa nayo ime-comment. Kwahiyo kama nchi jirani kuna utekaji, basi uachwe uendelee?Fool! Huoni killings na kidnappings Nji jirani?
Full support 💪🏿✌🏿📌🔨Ninaandika kitabu kwa lugha ya kiingereza ili kikasomwe na wazungu watoa misaada.
Kitabu hiki kinaelezea kiburi na ukiziwi wa rais Samia kwenye vilio vya watanzania juu ya utekaji na mauaji kana kwamba yuko ndani ya jeneza.
Nitaomba baadhi ya inputs zenu nikifika kwenye hatua ya kumaliza.
Tutaelewana tu
Hahahaha😂😂😂😂Angalieni hii mbwa nayo ime-comment. Kwahiyo kama nchi jirani kuna utekaji, basi uachwe uendelee?
Ushamuuliza Eric Kabendera kwamba yeye kafanikiwa kiasi gani na likitabu lake la "I am the State"? Maana kama ni ushauri wangu, hizo hela za kuchapisha kitabu tungezinywa Konyagi tu!Ninaandika kitabu kwa lugha ya kiingereza ili kikasomwe na wazungu watoa misaada.
Kitabu hiki kinaelezea kiburi na ukiziwi wa rais Samia kwenye vilio vya watanzania juu ya utekaji na mauaji kana kwamba yuko ndani ya jeneza.
Nitaomba baadhi ya inputs zenu nikifika kwenye hatua ya kumaliza.
Tutaelewana tu
Bado kinauzika mambele huko kwenye maduka mtandao kama vile Amazon, na ndiyo maana Kabendera kakiandika kitabu chake kwa lugha ya kimalikia.Ushamuuliza Eric Kabendera kwamba yeye kafanikiwa kiasi gani na likitabu lake la "I am the State"? Maana kama ni ushauri wangu, hizo hela za kuchapisha kitabu tungezinywa Konyagi tu!
Ahahahahaha! Bila shaka ni bestseller ya mwaka huu huko ma mbele sio? Ahahahahaha!!Bado kinauzika mambele huko kwenye maduka mtandao kama vile Amazon, na ndiyo maana Kabendera kakiandika kitabu chake kwa lugha ya kimalikia.
Whatever!!Ahahahahaha! Bila shaka ni bestseller ya mwaka huu huko ma mbele sio? Ahahahahaha!!