Sasa kikisomwa na mkojani wa Unguja atasaidia nn?Eti kikasomwe na wazungu!
Hivi kumbe ujinga huwa unaambukizanwa eeh π€
Bwana wee mkojani huyu alikula dili na mmachame wakaandaa maigizo bibi akaenda kuhudhuria hafla ya bawacha nikajikuta nimeingia KINGMaisha....nikikumbuka shangwe za mleta mada kuwa anaupiga mwingi...nabaki kucheka.
Watch your back youngman! The unknown are there πππππ watching you.Ninaandika kitabu kwa lugha ya kiingereza ili kikasomwe na wazungu watoa misaada.
Kitabu hiki kinaelezea kiburi na ukiziwi wa rais Samia kwenye vilio vya watanzania juu ya utekaji na mauaji kana kwamba yuko ndani ya jeneza.
Nitaomba baadhi ya inputs zenu nikifika kwenye hatua ya kumaliza.
Tutaelewana tu
Tena Kwa kiburi na jeuri na dharau anajiita Chura kiziwiNinaandika kitabu kwa lugha ya kiingereza ili kikasomwe na wazungu watoa misaada.
Kitabu hiki kinaelezea kiburi na ukiziwi wa rais Samia kwenye vilio vya watanzania juu ya utekaji na mauaji kana kwamba yuko ndani ya jeneza.
Nitaomba baadhi ya inputs zenu nikifika kwenye hatua ya kumaliza.
Tutaelewana tu
Wasipoongea watu itafika hatua mawe yataongea.Watch your back youngman! The unknown are there πππππ watching you.
The book will be published in Kenya and sold through Amazon. So I'm a hundred miles ahead of the sycophants.Watch your back youngman! The unknown are there πππππ watching you.
dunia imekamatwa na wazungu. hutaki?Eti kikasomwe na wazungu!
Hivi kumbe ujinga huwa unaambukizanwa eeh π€
Kwa hiyo kwa mawazo yako, na akili yako (kama unayo timamu) unaamini watakaoleta mabadiliko (reform/changes) kwenye nchi hii ni wazungu? Kama huamini kuwa sisi wanamatumbi na wakojani unaotudharau ndio tutaleta hayo mabadiliko basi una matatizo makubwa ya uelewa.Sasa kikisomwa na mkojani wa Unguja atasaidia nn?
Kama watu wenyewe ndiyo nyie, kweli lazima waikamate!dunia imekamatwa na wazungu. hutaki?
JESUS IS LORD&SAVIOR