Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

Tuendelee kulipia hawa private school hawa broiler wetu kwakuwa times yamuna loan a hatutaki hawa broiler wapate changamoto zozote za kimaisha.

Na usisahau ada ya University ni ndogo kuliko secondary na high school, Kwahiyo serikali ihakikishe mikopo itolewe kwa wanafunzi waliosoma shule za umma tu, Wazazi wasiokuwa na akili wasidekezwe.
 
Mi Wangu hata scholarship aliyopata niliipotezea
 
Wakati unampeleka mtoto wako hizo shule za mamilioni, hukuona km ni kubeza shule za serikali,,,,wew uliona ni ufahari kwako..

Sasa wakati serikali inampangia mwanao aende KAREMA SEC huko Mpanda vijijini, ndio unaona umedhalilishwa[emoji1745][emoji1745]

Basi mpeleke huko unakoona kutalinda heshima na pesa zako
 
Ndio maana mnashauriwa elimu ya TZ si vyema kuwekeza sana kwa mtoto huku shule za awali, ni ujinga ulimbukeni na upotezaji wa fedha...mpeleke mtoto shule za kawaida na bora kama umbwe lyamungo, ashira tanga tech ilboru halafu mpe maisha hapo shule asome, achukue one yake kisha weka nguvu yako mbeleni chuo kikuu ili asisome kwa mkopo tu, hapo utakuwa umepiga milestone ya nguvu, nina watoto wa anko wangu wamesoma hiyo mishule ya feza st constantine nk tena wakasoma ulaya na australia leo wako nyumbani tu anko anajuta kupoteza mamilioni ya shilingi
 
Kwa uwezo wako wa kufikiri unafikiri situations ktk maisha ni permanent si ndio!?

Una waza kimasikini na umejaa wivu.
Hili ndilo tatizo lenu Wabongo. Kulalamika bila ya sababu za msingi! Na huwa hamtaki kuambiwa ukweli.

Ukiona huridhishwi na shule aliyopangiwa mtoto wako, mpeleke shule nzuri unayo itaka. Hayo masuala ya situations katika maisha, ni ya kwako.
 
Wanafunzi waliochukuliwa kwenda special ni chini ya 2000
Hii sasa ni aibu kubwa. YANI SERIKALI YA CCM IMESHINDWA JENGA SPECIAL SCHOOLS ZAKE TANGU UHURU.

Uhitaji wa special schools sasa ni mwingi mnoo..maajabu Serikali inaliacha jukumu la kujenga shule bora private sector.

CCM ng'atukeni..shameless
 
Wachangiaji wengi hapa naona mnaifanya Serikali iache kufikiri..

Na kwa akili hizi nnazoziona hapa, Samia uza nchi tu. Tutagawana pesa huko mbele.
Wewe ulisoma English medium? Je ulisoma special school?

Hiki ndio kizazi cho hovyo kabisa kilicholelewa vizuri lakini nyinyi wenyewe malezi ya Watoto wenu yamewashinda.

Maana Watoto mmewageuza ni kama midoli au mikuku ya broiler.
 
Hii sasa ni aibu kubwa. YANI SERIKALI YA CCM IMESHINDWA JENGA SPECIAL SCHOOLS ZAKE TANGU UHURU.

Uhitaji wa special schools sasa ni mwingi mnoo..maajabu Serikali inaliacha jukumu la kujenga shule bora private sector.

CCM ng'atukeni..shameless
Wabaguzi nyie mi shule zote zafaa kuwa special
 
Ufaulu mkuu!
 
Leo umemwaga utumbo kaka.....watu wanajinyima ili watot wao wapate foundation nzuri na sio kila anayesoma private basi ana pesa nyingi lahasha....

Kama taifa tubadilike na tukubali elimu imevurugwa sana nimeshuhudia dogo kapata division 1.7 hafu kaenda shule moja ya ovyo tu.
 
Sasa mbona hiyo ni kawaida sana jwa serikali. Mimi kuna jamaa yangu binti yake alipigia 1.7 na akapangwa Shule ya Kata. Uzuri hawamlazimishi mtu.
Tatizo tunachokikosea wengi, ni kujifananisha na x; unajiuliza yule ametumia gharama ndogo kapangiwa kuzuri, na mimi nimetumia gharama kubwa kapangiwa kubaya.
Ndio maana magonjwa ya uzeeni hayatuachi; tunaishi kwa kujiringanisha, hii ni mbaya sana.​
 
Na bado unamsomesha kwa mili 100 kwa miaka sita Form 4 na 6 then ajir kwa Muhindi Talipwa Laki 8.
Ni bora hizo pesa ungemwekewa account
 
We jamaa hayo mambo yalikuwa zaman siku hizi hata upate A flati huendi special wala mavi yake kipaji kwa taarifa yako hzo A zinapigwa za kutosha kuliko unavyodhani sahv katika shule za kata kukuta zina single digit tena 1.7 ni jambo la kawaida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…