Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Tuendelee kulipia hawa private school hawa broiler wetu kwakuwa times yamuna loan a hatutaki hawa broiler wapate changamoto zozote za kimaisha.

Na usisahau ada ya University ni ndogo kuliko secondary na high school, Kwahiyo serikali ihakikishe mikopo itolewe kwa wanafunzi waliosoma shule za umma tu, Wazazi wasiokuwa na akili wasidekezwe.
 
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Mi Wangu hata scholarship aliyopata niliipotezea
 
Wakati unampeleka mtoto wako hizo shule za mamilioni, hukuona km ni kubeza shule za serikali,,,,wew uliona ni ufahari kwako..

Sasa wakati serikali inampangia mwanao aende KAREMA SEC huko Mpanda vijijini, ndio unaona umedhalilishwa[emoji1745][emoji1745]

Basi mpeleke huko unakoona kutalinda heshima na pesa zako
 
Ndio maana mnashauriwa elimu ya TZ si vyema kuwekeza sana kwa mtoto huku shule za awali, ni ujinga ulimbukeni na upotezaji wa fedha...mpeleke mtoto shule za kawaida na bora kama umbwe lyamungo, ashira tanga tech ilboru halafu mpe maisha hapo shule asome, achukue one yake kisha weka nguvu yako mbeleni chuo kikuu ili asisome kwa mkopo tu, hapo utakuwa umepiga milestone ya nguvu, nina watoto wa anko wangu wamesoma hiyo mishule ya feza st constantine nk tena wakasoma ulaya na australia leo wako nyumbani tu anko anajuta kupoteza mamilioni ya shilingi
 
Kwa uwezo wako wa kufikiri unafikiri situations ktk maisha ni permanent si ndio!?

Una waza kimasikini na umejaa wivu.
Hili ndilo tatizo lenu Wabongo. Kulalamika bila ya sababu za msingi! Na huwa hamtaki kuambiwa ukweli.

Ukiona huridhishwi na shule aliyopangiwa mtoto wako, mpeleke shule nzuri unayo itaka. Hayo masuala ya situations katika maisha, ni ya kwako.
 
Wanafunzi waliochukuliwa kwenda special ni chini ya 2000
Hii sasa ni aibu kubwa. YANI SERIKALI YA CCM IMESHINDWA JENGA SPECIAL SCHOOLS ZAKE TANGU UHURU.

Uhitaji wa special schools sasa ni mwingi mnoo..maajabu Serikali inaliacha jukumu la kujenga shule bora private sector.

CCM ng'atukeni..shameless
 
Wachangiaji wengi hapa naona mnaifanya Serikali iache kufikiri..

Na kwa akili hizi nnazoziona hapa, Samia uza nchi tu. Tutagawana pesa huko mbele.
Wewe ulisoma English medium? Je ulisoma special school?

Hiki ndio kizazi cho hovyo kabisa kilicholelewa vizuri lakini nyinyi wenyewe malezi ya Watoto wenu yamewashinda.

Maana Watoto mmewageuza ni kama midoli au mikuku ya broiler.
 
Hii sasa ni aibu kubwa. YANI SERIKALI YA CCM IMESHINDWA JENGA SPECIAL SCHOOLS ZAKE TANGU UHURU.

Uhitaji wa special schools sasa ni mwingi mnoo..maajabu Serikali inaliacha jukumu la kujenga shule bora private sector.

CCM ng'atukeni..shameless
Wabaguzi nyie mi shule zote zafaa kuwa special
 
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Ufaulu mkuu!
 
Sasa kama umeweza kumsomesha mtoto wako kwa mamilioni, kwa nini usimpeleke tena kwenye hizo shule za mamilioni? Wenzako mbona wanafanya hivyo, na hawalalamiki?

Au serikali imekulazimisha kumpeleka mtoto wako huko Nkasi, Namtumbo, Chunya, Songea, nk? Au unafikiri wanapo panga huwa wanaangalia kigezo cha mtoto kusomeshwa shule za mamilioni?

Kwa ufupi tu haya malalamiko yako hayana mashiko. Muache mtoto akachangamane na watoto wa kutoka mazingira tofauti. Huenda ikamsaidia katika maisha yake ya baadaye. Na pia kama huna hela kwa sasa ya kumrudisha mtoto wako kwenye shule za mamilioni, jitahidi kuwa mpole.
Leo umemwaga utumbo kaka.....watu wanajinyima ili watot wao wapate foundation nzuri na sio kila anayesoma private basi ana pesa nyingi lahasha....

Kama taifa tubadilike na tukubali elimu imevurugwa sana nimeshuhudia dogo kapata division 1.7 hafu kaenda shule moja ya ovyo tu.
 
Sasa mbona hiyo ni kawaida sana jwa serikali. Mimi kuna jamaa yangu binti yake alipigia 1.7 na akapangwa Shule ya Kata. Uzuri hawamlazimishi mtu.
Tatizo tunachokikosea wengi, ni kujifananisha na x; unajiuliza yule ametumia gharama ndogo kapangiwa kuzuri, na mimi nimetumia gharama kubwa kapangiwa kubaya.
Ndio maana magonjwa ya uzeeni hayatuachi; tunaishi kwa kujiringanisha, hii ni mbaya sana.​
 
Na bado unamsomesha kwa mili 100 kwa miaka sita Form 4 na 6 then ajir kwa Muhindi Talipwa Laki 8.
Ni bora hizo pesa ungemwekewa account
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
 
Kwenye masomo ya combination anayotaka kusoma, for instance PCM or PCB ana AAA au AAB? Kama hana hizo scores halafu ana Div 1 yenye A za history na Kiswahili na anataka kwenda PCM au PCB special school..asahau. Kwenda Special School kitu namba moja ni kufanya vizur sana kwenye masomo ya combination husika. Wapo hao walisoma private schools na wakaperform vizur na tutakutana nao Advance Special school....ingawa sisi wengine tulisoma serikalini kwa hali ngumu...focus yetu ilikuw ni kuweka AAAA kwenye PCM or PCB ..hayo masomo mengine hata tukivurunda kwa kupata C au B tulikuw hatujali....na with that performance straight away sio rahisi kukosa Special school
We jamaa hayo mambo yalikuwa zaman siku hizi hata upate A flati huendi special wala mavi yake kipaji kwa taarifa yako hzo A zinapigwa za kutosha kuliko unavyodhani sahv katika shule za kata kukuta zina single digit tena 1.7 ni jambo la kawaida sana.
 
Back
Top Bottom