Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuendelee kulipia hawa private school hawa broiler wetu kwakuwa times yamuna loan a hatutaki hawa broiler wapate changamoto zozote za kimaisha.Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?
Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS
Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..
Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.
Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.
Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.
Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.
How come effort brings you to disappointment than achievement.
Mi Wangu hata scholarship aliyopata niliipotezeaIna tija gani!?

Hili ndilo tatizo lenu Wabongo. Kulalamika bila ya sababu za msingi! Na huwa hamtaki kuambiwa ukweli.Kwa uwezo wako wa kufikiri unafikiri situations ktk maisha ni permanent si ndio!?
Una waza kimasikini na umejaa wivu.
Hii sasa ni aibu kubwa. YANI SERIKALI YA CCM IMESHINDWA JENGA SPECIAL SCHOOLS ZAKE TANGU UHURU.Wanafunzi waliochukuliwa kwenda special ni chini ya 2000
Wewe ulisoma English medium? Je ulisoma special school?Wachangiaji wengi hapa naona mnaifanya Serikali iache kufikiri..
Na kwa akili hizi nnazoziona hapa, Samia uza nchi tu. Tutagawana pesa huko mbele.
Wabaguzi nyie mi shule zote zafaa kuwa specialHii sasa ni aibu kubwa. YANI SERIKALI YA CCM IMESHINDWA JENGA SPECIAL SCHOOLS ZAKE TANGU UHURU.
Uhitaji wa special schools sasa ni mwingi mnoo..maajabu Serikali inaliacha jukumu la kujenga shule bora private sector.
CCM ng'atukeni..shameless
Ufaulu mkuu!Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?
Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS
Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..
Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.
Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.
Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.
Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.
How come effort brings you to disappointment than achievement.
🤣🤣🤣🤭Kwani ada ya FEZA, MARIAN AU ST MARY ulikuwa unaipata wapi?
Leo umemwaga utumbo kaka.....watu wanajinyima ili watot wao wapate foundation nzuri na sio kila anayesoma private basi ana pesa nyingi lahasha....Sasa kama umeweza kumsomesha mtoto wako kwa mamilioni, kwa nini usimpeleke tena kwenye hizo shule za mamilioni? Wenzako mbona wanafanya hivyo, na hawalalamiki?
Au serikali imekulazimisha kumpeleka mtoto wako huko Nkasi, Namtumbo, Chunya, Songea, nk? Au unafikiri wanapo panga huwa wanaangalia kigezo cha mtoto kusomeshwa shule za mamilioni?
Kwa ufupi tu haya malalamiko yako hayana mashiko. Muache mtoto akachangamane na watoto wa kutoka mazingira tofauti. Huenda ikamsaidia katika maisha yake ya baadaye. Na pia kama huna hela kwa sasa ya kumrudisha mtoto wako kwenye shule za mamilioni, jitahidi kuwa mpole.
Sasa mbona hiyo ni kawaida sana jwa serikali. Mimi kuna jamaa yangu binti yake alipigia 1.7 na akapangwa Shule ya Kata. Uzuri hawamlazimishi mtu.
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?
Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS
Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..
Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.
Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.
Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.
Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.
How come effort brings you to disappointment than achievement.
We jamaa hayo mambo yalikuwa zaman siku hizi hata upate A flati huendi special wala mavi yake kipaji kwa taarifa yako hzo A zinapigwa za kutosha kuliko unavyodhani sahv katika shule za kata kukuta zina single digit tena 1.7 ni jambo la kawaida sana.Kwenye masomo ya combination anayotaka kusoma, for instance PCM or PCB ana AAA au AAB? Kama hana hizo scores halafu ana Div 1 yenye A za history na Kiswahili na anataka kwenda PCM au PCB special school..asahau. Kwenda Special School kitu namba moja ni kufanya vizur sana kwenye masomo ya combination husika. Wapo hao walisoma private schools na wakaperform vizur na tutakutana nao Advance Special school....ingawa sisi wengine tulisoma serikalini kwa hali ngumu...focus yetu ilikuw ni kuweka AAAA kwenye PCM or PCB ..hayo masomo mengine hata tukivurunda kwa kupata C au B tulikuw hatujali....na with that performance straight away sio rahisi kukosa Special school