Ina maana hakuna ages 19-28 humu?

Kwani we unapenda kuwa mdogo udharaulike
Hapana wanaodharau wadogo wanakosea

Kuna wakubwa kwa namba tu akili za kitoto
Na unaweza kuwa na umri mdogo ila akili kubwa
Sasa mimi nisingepita hapa ningejuaje kutag[emoji3]kila rika lina nafasi yake humu
 
[emoji23][emoji23]sema ladies hawajafika wachangamshe genge
 
Tupo wengi tu
 
Eti kunatofauti gani kati ya....
1. Matiti
2. Manyonyo
3. Maziwa
Je, yanayoonekana kwemye vifua vya 19-28 yanaitwaje?

Maendeleo yana vyama ila udikteta hauna vyama....

Ahsanteni sn
 
Eti kunatofauti gani kati ya....
1. Matiti
2. Manyonyo
3. Maziwa
Je, yanayoonekana kwemye vifua vya 19-28 yanaitwaje?

Maendeleo yana vyama ila udikteta hauna vyama....

Ahsanteni sn
Ngoja waje wataalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…