Ina maana hamjasikia kwamba Baleke amesaini Yanga?

Mimi ni mwananchi lkn kumwacha Guede ni technical fault.huyo jamaa ndio kwanza alikuwa anaanza kupeak hivyo kumwacha hivi kirahisi itatucost wananchi
 
Nimeamini hata JOBE simba ikimpa thank you Yanga watabeba mzigo.

Yanga limegeuka kuwa Dampo la uchafu wa simba.
Hii inadhihitisha simba ni kubwa kuliko Yanga. Na ubingwa kwa Yanga umesababishwa tu na hujuma za nje ya uwanja.

Na tusisikie tena kwamba hakuna mchezaji wa simba anaweza kupata namba kwenye kikosi cha Yanga.
 
Kwa mtazamo wangu nafikiri Baleke alikua na upepo tu ile miezi yake 6 kwanza pale simba magoli yake alikua anafunga kibahati bahati sio uwezo kwaiyo lilikua ni suala la muda tu bahati kuisha na tulishuhudia msimu uliofata alivyopoteana. Anyway inawezekana nisiwe sahihi kama kweli amesaini yanga acha tuone atakachofanya uwanjani
 
sawa aje najua kwa sasa atakuwa ka-balehe
 
Sema Baleke naye akiamua kukosa magoli, anakosa kweli. Ila ni mshambuliaji mzuri zaidi ukimlinganisha na Guede, na pia ana uzoefu na ligi ya Bongo.
 
Wewe kiukwel hapo simba unastahil kuitwa iron lady...nina mashaka hii id ni ya asha baraka
Comrade hii kitu ni hatari sana ukikutana na Mods wakuda. Kuna mwaka nilipigwa ban kwa kumfananisha mpuuzi mmoja hivi humu jukwaani na kigogo mmoja kijana wa ccm.
 
Doo yani ww ni wa kuniita kay mziwanda yule dume jike ambaye hata kunyonyesha hajawahi?.niache aisee...
Halafu ww kule selfika unajifanya umenisahau ee navyotupia picha zangu na unalike...au nimekufananisha....?
Rafiki mambo? Nitumie picha japo ya mguu wako pm😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…