Ina maana hamjasikia kwamba Baleke amesaini Yanga?

Ina maana hamjasikia kwamba Baleke amesaini Yanga?

Kwa mtazamo wangu nafikiri Baleke alikua na upepo tu ile miezi yake 6 kwanza pale simba magoli yake alikua anafunga kibahati bahati sio uwezo kwaiyo lilikua ni suala la muda tu bahati kuisha na tulishuhudia msimu uliofata alivyopoteana. Anyway inawezekana nisiwe sahihi kama kweli amesaini yanga acha tuone atakachofanya uwanjani
Ulikuwa huangalii mpira wewe.
 
mbona yanga inakusanya matapishi ya simba sana!
Hapana;
Baleke na Chama siyo matapishi ya Simba kwani bado Simba inawatamani sana. Chama alipelekewa tiketi ya ndege akaongee na Mo huko Dubai ilia wayamalize lakini Chama akagoma. Simba ikakamtuma Magori kwenda kuongea naye uso kwa uso huzo Zambia lakini pia ikashindikana; kwa hiyo Chama siyo tapishi la simba na bado simba inamlilia ndiyo maana wamshindwa kutoa thank you, bali yeye ndiye kawapa thank you simba.

Baleke hakutemwa na Simba bali mkataba wa mkopo wake ulipoisha, Simba walishindwa kuufanyia extensions. Majuzi Try Again amefanya tena mazungunguzo na Baleke lakini nadhani Baleke hakukubalia kutokana na experience ya miezi sita iliyopita.

Mengineyo yote, tusubiri ligi ianze. Time will tell
 
Nimeamini hata JOBE simba ikimpa thank you Yanga watabeba mzigo.

Yanga limegeuka kuwa Dampo la uchafu wa simba.
Hii inadhihitisha simba ni kubwa kuliko Yanga. Na ubingwa kwa Yanga umesababishwa tu na hujuma za nje ya uwanja.

Na tusisikie tena kwamba hakuna mchezaji wa simba anaweza kupata namba kwenye kikosi cha Yanga.
Mangungu akisikia hizi kauli zenu za ubingwa wa Yanga ni hujuma za nje ya uwanja huwa anafarijika na presha inashuka.
 
Hapana;
Baleke na Chama siyo matapishi ya Simba kwani bado Simba inawatamani sana. Chama alipelekewa tiketi yan ndege akaongee na Mo huko Dubai ilia wayamalize lakini Chama akagoma. Simba ikakamtuma Magori kwenga kuongea naye uso kwa uso huzo Zambia lakini pia ikashindikana; kwa hiyo Chama siyo tapishi la simba na bado simba inamlilia ndiyo maana wamsheindwa kutoa thank you, bali yeye ndiye kawapa thank you simba.

Baleke hakutemwa na Simba bali mkataba wa mkpo wake ulipoisha, Simba walishindwa kuufanyia extensions. Majuzi Try Again amefanya tena mazungunguzo na Baleke lakini nadhani Baleke hakukubalia kutokana na experience ya miezi sita iliyopita.

Mengineyo yote, tusubiri ligi ianze. Time will tell
chama siyo konokono tena!?
 
Sema Baleke naye akiamua kukosa magoli, anakosa kweli. Ila ni mshambuliaji mzuri zaidi ukimlinganisha na Guede, na pia ana uzoefu na ligi ya Bongo.
Guede hakupi uhakika wa kuperform vizuri kwa dakika zote 90, Baleke anaweza akakupa huo uhakika.

Baleke atasumbua ngome ya upinzani kwa sehemu kubwa kuliko Guede. Kwa upande wangu mimi, nafikiri Baleke ni mzuri zaidi.
 
Au mnaleta dharau?

Anyways " Engineer means business"

Guede tulikupenda sana lakini ulikosea sana kudemand pesa nyingi mapema kiasi hicho.. Issue yako ilikuwa bado haija mature. Huu ulikuwa ndio Msimu wako wa kurpove kwamba unastahili kulipwa zaidi ya unavyo lipwa.

We wish u all the best.


Balekhe anakuja kuprove theory yangu kwamba He is better than Mayele.

Point yangi ilikuwa " Soka la sasa linamuhitaji striker anae funga zaidi ya goli moja kwa kila mechi moja. Striker mwenye njaa na kiu isiyo koma ya kufunga magoli mengi kwenye mechi moja kama Balekhe na sio striker anaeridhika akifunga goli moja kama Mayele.

I am proud to be MWANANCHI
Hongereni
 
Back
Top Bottom