Ina maana hamjasikia kwamba Baleke amesaini Yanga?

Ulikuwa huangalii mpira wewe.
 
mbona yanga inakusanya matapishi ya simba sana!
Hapana;
Baleke na Chama siyo matapishi ya Simba kwani bado Simba inawatamani sana. Chama alipelekewa tiketi ya ndege akaongee na Mo huko Dubai ilia wayamalize lakini Chama akagoma. Simba ikakamtuma Magori kwenda kuongea naye uso kwa uso huzo Zambia lakini pia ikashindikana; kwa hiyo Chama siyo tapishi la simba na bado simba inamlilia ndiyo maana wamshindwa kutoa thank you, bali yeye ndiye kawapa thank you simba.

Baleke hakutemwa na Simba bali mkataba wa mkopo wake ulipoisha, Simba walishindwa kuufanyia extensions. Majuzi Try Again amefanya tena mazungunguzo na Baleke lakini nadhani Baleke hakukubalia kutokana na experience ya miezi sita iliyopita.

Mengineyo yote, tusubiri ligi ianze. Time will tell
 
Mangungu akisikia hizi kauli zenu za ubingwa wa Yanga ni hujuma za nje ya uwanja huwa anafarijika na presha inashuka.
 
chama siyo konokono tena!?
 
Sema Baleke naye akiamua kukosa magoli, anakosa kweli. Ila ni mshambuliaji mzuri zaidi ukimlinganisha na Guede, na pia ana uzoefu na ligi ya Bongo.
Guede hakupi uhakika wa kuperform vizuri kwa dakika zote 90, Baleke anaweza akakupa huo uhakika.

Baleke atasumbua ngome ya upinzani kwa sehemu kubwa kuliko Guede. Kwa upande wangu mimi, nafikiri Baleke ni mzuri zaidi.
 
Hongereni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…