Ina maana hawa wanaovaa makanga na matisheti ya CCM wakati wa kampeni CCM sio mali yao? Ni mali ya wajanja wa mjini

Wewe ni miongoni mwa walioridhika kulipwa elfu 7 kwa wiki kwa kazi ya kutukana Chadema humu JF , endelea na kazi yako , Unamlilia nani sasa ?

Nimetumia nguvu kubwa sana kukufundisha lakini hamna kitu , UTAVUNA ULICHOPANDA , KAPUKU MKUBWA WE !
We dada huko Buza mpo salama? Hili swali ni muhimu acha hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…