Ina maana hizi barua zote Samia na Serikali yake hawazioni au wanazipuuza

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Marekani imeonya.
Nchi za Ulaya zinaonya.
DUA-Africa inaonya.
IDU-The International Democracy Union ilionya.

Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini.

Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.

GuszHYsW8AA1gOx.jpg
Guv3ei3XkAEo6Mk.jpg
 
Maushungi sasa hivi usingizi wake ni wa shida sana, kwenye chama chake penyewe kina Ima the boy wana mlia timing kimataifa penyewe wanamsakama, daah sidhani hata kileleni anafika kwa kipindi hiki
 
Marekani imeonya.
Nchi za Ulaya zinaonya.
DUA-Africa inaonya.
IDU-The International Democracy Union ilionya.

Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri au ni ujeuri tu tuone watafanya nini.

Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.

View attachment 3390077View attachment 3390078
Rais keshajibu hizo barua zote zamaaaani!
Au wewe hakukwambia yeye ni chura kiziwi? Unataka arudie?
 
Ngoja tuone. Atakuwa rafiki wa France
France inawapenda sana viongozi kama yeye. Ndiyo maana kule Burkina Faso, Chad, Mali hawakuondoka hadi waliposhikiwa mtutu
 
Maushungi sasa hivi usingizi wake ni wa shida sana, kwenye chama chake penyewe kina Ima the boy wana mlia timing kimataifa penyewe wanamsakama, daah sidhani hata kileleni anafika kwa kipindi hiki
Kwani Rais huwa anafanya mapenzi ?
 
Huyu Samia mjinga hawezi kuelewa barua hizo zina husu nini. Labda asomewe na Katambi au Mpina
 
Maushungi sasa hivi usingizi wake ni wa shida sana, kwenye chama chake penyewe kina Ima the boy wana mlia timing kimataifa penyewe wanamsakama, daah sidhani hata kileleni anafika kwa kipindi hiki
Nani wa kumfikisha?
 
Huyu Samia mjinga hawezi kuelewa barua hizo zina husu nini. Labda asomewe na Katambi au Mpina
Utauponza mzee baba, hawaoni hasara kukuua ili tu kulinda maslahi yao.
 
Back
Top Bottom