Mnalo mwaka huu
Rais keshajibu hizo barua zote zamaaaani!Marekani imeonya.
Nchi za Ulaya zinaonya.
DUA-Africa inaonya.
IDU-The International Democracy Union ilionya.
Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri au ni ujeuri tu tuone watafanya nini.
Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
View attachment 3390077View attachment 3390078
AstafulilahiMaushungi sasa hivi usingizi wake ni wa shida sana, kwenye chama chake penyewe kina Ima the boy wana mlia timing kimataifa penyewe wanamsakama, daah sidhani hata kileleni anafika kwa kipindi hiki
Na chiembe na voice nkWatafsirie washkaji zako kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah
Mama yupo busy kufungua milango iliyokuwa imefungwa na DiktetaMarekani imeonya.
Nchi za Ulaya zinaonya.
DUA-Africa inaonya.
IDU-The International Democracy Union ilionya.
Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri au ni ujeuri tu tuone watafanya nini.
Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
View attachment 3390077View attachment 3390078
Kwani Rais huwa anafanya mapenzi ?Maushungi sasa hivi usingizi wake ni wa shida sana, kwenye chama chake penyewe kina Ima the boy wana mlia timing kimataifa penyewe wanamsakama, daah sidhani hata kileleni anafika kwa kipindi hiki
Ndio anafanyaKwani Rais huwa anafanya mapenzi ?
Mbona hana mimba 🧐Ndio anafanya
Nani wa kumfikisha?Maushungi sasa hivi usingizi wake ni wa shida sana, kwenye chama chake penyewe kina Ima the boy wana mlia timing kimataifa penyewe wanamsakama, daah sidhani hata kileleni anafika kwa kipindi hiki
Utauponza mzee baba, hawaoni hasara kukuua ili tu kulinda maslahi yao.Huyu Samia mjinga hawezi kuelewa barua hizo zina husu nini. Labda asomewe na Katambi au Mpina