This time around lazima azibuke.Alishasema yeye ni chura kiziwi
Ww tulia baba watapoteana balaa we subiri muda bado kidogo.Marekani imeonya.
Nchi za Ulaya zinaonya.
DUA-Africa inaonya.
IDU-The International Democracy Union ilionya.
Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini.
Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
View attachment 3390077View attachment 3390078
Anae mkula kipapiroNani wa kumfikisha?
Waambie waache kuonya, bali wachukue hatua kama Wana ubavu huoMarekani imeonya.
Nchi za Ulaya zinaonya.
DUA-Africa inaonya.
IDU-The International Democracy Union ilionya.
Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini.
Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
View attachment 3390077View attachment 3390078
hao wazungu waanza kwanza na huku km kwel ni watu wema.Mwenyezi Mungu Wabariki Wazungu Waepushe na Majanga
Waongoze warudi Tena kutuongoza, maama kuongonzwa na wakoroni weusi ni mateso
wao wazungu hawaoni haya eeMarekani imeonya.