Ina maana hizi Bodaboda wanazigawa bure kama peremende?

Haya mamilioni kayapata wapi?
 
Hizo ni kampeni za siasa, huyo mfanyabiashara anafaidikia kwa kuwa karibu na center ya power.
 
Ni Rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…