Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Pengine wapo ila wanajikaza tuHao wenzetu jobless hawamo humu sababu wakipata smart phone tu ni kukimbilia kwenye mitandao ya udaku. Waliomo humu sifa ya kwanza wasomi, ya pili pisi kali na mwisho pesa pesa za kula zipo. Mfano faiza
Mkuu naunga mkono falsafa yako,japo hujakiri au kukanusha uwepo wa majobless ya kike humu jfMwanaume ndiye binadamu halisi kwenye ulimwengu
Harakati zote za shida anapitia mwanaume
Vibarua wengi ni wanaume,
Magereza na mahabusu wateja ni wanaume.
Ni rahisi mwanamke kutamani kuwa mwanaume Lakini si mwanaume kutamani kuwa mwanamke.
Bar ,club na sehemu zote za starehe ni kwaajili ya mwanaume.
Mwanaume ndiye anapaswa kumridhisha mwenzake na si kinyume chake.
Vitabu vya dini vina manabii wanaume Tu mwanzo mwisho.
Mimi Jack Daniel sijawahi kukubali harakati zozote za mwanamke hata siku moja naishi kwenye falsafa za kizamani Kwanza siamini katika jinsia Ke
Sababu ya kejeli nyingiPengine wapo ila wanajikaza tu
Kejeli kutoka kwa wananzengo sioSababu ya kejeli nyingi
Kejeli kutoka kwa wananzengoSababu ya kejeli nyingi
Wapo tena wengi ila kila mtu anataka kuonekana ni matawi fulaniMkuu naunga mkono falsafa yako,japo hujakiri au kukanusha uwepo wa majobless ya kike humu jf
Zamani huko nilikuwa nikimuona mwanamke yoyote kapendeza nilikuwa najua matawi ila baadae nikaja baini unaweza muona mtu ka-shine nenda sasa kaone maisha yake huko anakoishi.Nadhani hii ndio ipo kwa wanawake wengiWapo tena wengi ila kila mtu anataka kuonekana ni matawi fulani
Biasharani sio
Mgeni huyu ila kajiunga 2017Mbona mabandiko yako mengi tu ,. Endelea kusoma tena
Mwanaume ndiye binadamu halisi kwenye ulimwengu
Harakati zote za shida anapitia mwanaume
Vibarua wengi ni wanaume,
Magereza na mahabusu wateja ni wanaume.
Ni rahisi mwanamke kutamani kuwa mwanaume Lakini si mwanaume kutamani kuwa mwanamke.
Bar ,club na sehemu zote za starehe ni kwaajili ya mwanaume.
Mwanaume ndiye anapaswa kumridhisha mwenzake na si kinyume chake.
Vitabu vya dini vina manabii wanaume Tu mwanzo mwisho.
Mimi Jack Daniel sijawahi kukubali harakati zozote za mwanamke hata siku moja naishi kwenye falsafa za kizamani Kwanza siamini katika jinsia Ke
wakike wakitikisa maashakumu tu wanapata kulaNi kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni wa kiume tu?,je hatuna majobless au wenye maisha magumu wa kike.Au wengi wamejiajiri kwenye sekta ile ya short time 10000,mpaka ahsubuhi elfu 50
Kwenye nchi ya kichawa na kirushwa, uwezekano wa warume kukosa kazi ni mkubwa. Kwani, hawana cha mwilini cha kutoa kwa waombaji na wala rushwa.Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni wa kiume tu?,je hatuna majobless au wenye maisha magumu wa kike.Au wengi wamejiajiri kwenye sekta ile ya short time 10000,mpaka ahsubuhi elfu 50
Mwanamke hata asipokuwa na kazi mapato anayoingiza kwa mwezi kwa "Uchumi wake alioukalia" unaweza ukawa sawa na mshara wa PC wa CCP.Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni wa kiume tu?,je hatuna majobless au wenye maisha magumu wa kike.Au wengi wamejiajiri kwenye sekta ile ya short time 10000,mpaka ahsubuhi elfu 50