Unalijua kwanza Lengo la Uwepo wa dini !?
Ukilijua vyema Lengo la Uwepo wa dini nadhani hauto washangaa hao mashekhe maana Wana fanya kile ambacho ndio kilicho sababisha Uwepo wa hizo dini
Lengo la Uwepo wa dini ni kuwa- rahisishia viongozi waliopo madarakani kuweza kutawala Kwa wepesi dini ni psychology weapon ni sera za kimataifa kuhakikisha Kila nchi mwanachama wa UN lazima nchi hiyo iwe na dhehebu la dini Fulani katika kuhakikisha watu Wana tawaliwa Kwa wepesi,
So ukiona Dini Fulani Ina support serikali basi yakupasa ufahamu kwamba ni kwakuwa serikali ime wahakikishia kwamba maslahi Yao yatalindwa vyema na so viongozi wa dini hiyo Wana paswa kuipa back up serikali vyema katika kuhakikisha inatawala vyema
Na ukiona Kuna dini hai support serikali basi fahamu ya kwamba maslahi ya dini hiyo yatakuwa yame kanyagwa ,
Kuna viongozi jeuri kama Rodrigo Duterte wanaujua huo mchongo mzima so waliamua kwenda against na hiyo kanuni akawa ana likashifu kanisa catholic maana anajua Kila kitu kuwa dini ni mchongo tu kwaajili ya kuwatawala watu lakini mwisho wa siku na yeye hakutoboa ,
Pia Kuna Kiongozi wa zamani wa Italia alikuwa anaitwa Napoleon Bonaparte Huyu alikuwa against kabisa na kanisa catholic kwasababu na yeye alikuwa anajua ujanja ujanja wote kuwa dini ni mchongo tu wa kutawala watu na kuwalia pesa zao so alikuwa adui mkubwa sana wa masuala ya Imani za dini na Alimkamata mpaka pope wa wakati huo na akamfunga jela
Huyo pope alifia jela kabisa
Wajuzi wa mambo wanasema kwamba Napoleon Bonaparte alipo vamia Vatican Alikuta Siri kibao , Siri Moja wapo aliyokutana na Yao ni mikataba ya kanisa catholic na the so called Mtume Muhammad katika kuhakikisha Wana Uanzisha uislam na kuupa power kwaajili ya Lengo la devide and rule
So mnatakiwa mfahamu undani wa mambo kuwa mnatumika