NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
NAKAZIA MKUUViongozi wa Yanga waache ubabaishaji. Walipe madeni ya hao wachezaji haraka iwezekanavyo. Siyo poa kabisa kuichafua timu, kwa sababu tu ya ubabaishaji wao.
Yeah....na hela ipo wanatuaibisha sana.Viongozi wa Yanga waache ubabaishaji. Walipe madeni ya hao wachezaji haraka iwezekanavyo. Siyo poa kabisa kuichafua timu, kwa sababu tu ya ubabaishaji wao.
KWELI KABISA MKUUYeah....na hela ipo wanatuaibisha sana.
Unapopata pesa, hutakiwi kukimbilia kulipa madeni.nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu kuwa wamlipe pesa kambole lakini yanga walikaidi na kujisahaulisha
SWALI LANGU: ina maana mikataba wanayosaini yanga sc ni mikataba feki au ni ya laki laki anbayo haikidhi na haiwezi kukusanya pesa za kutosha na kumlipa kambole??
HIYO PESA UNAIPELEKA WAPI MWISHO WA SIKU UNAZALILISHWA NA PESA UNAYO MFUKONIUnapopata pesa, hutakiwi kukimbilia kulipa madeni.
Ndio hiyo iliyoleta kina Pacome, Yao Yao, Max etc.HIYO PESA UNAIPELEKA WAPI MWISHO WA SIKU UNAZALILISHWA NA PESA UNAYO MFUKONI
UNADHANI WAMEPEWA MUDA GANI WALIPE LAKINI HAWAJALIPANdio hiyo iliyoleta kina Pacome, Yao Yao, Max etc.
Kambore atalipwa, awe mvumilivu kidogo.
Au sio 🤣 🤣Ndio hiyo iliyoleta kina Pacome, Yao Yao, Max etc.
Kambore atalipwa, awe mvumilivu kidogo.
Kila kitu ni mipango, yawezekana waliambiwa wawe wamelipa ndani ya time interval fulani, lakini ndani ya huo muda kulikuwa na mipango mingine ya maendeleo. Kwenye biashara hatuwezi kuacha kununua mzigo mpya, alaf hela tukalipie madeni.UNADHANI WAMEPEWA MUDA GANI WALIPE LAKINI HAWAJALIPA
Wanachochea migogoro hata hawawajibiki kwa lolote kwa YangaNALIA NGWENA na Tate Mkuu katika ubora wao..hapo majini hayajawavaa...wako vyedi wanatema checheeee
Yeah, huwezi laza wanao na njaa kisa jirani anakudai.Au sio 🤣 🤣
HAHAHAAHAHHA haya ngoja kambole aje kama kambale ndo mtajua hamjui...Yeah, huwezi laza wanao na njaa kisa jirani anakudai.
Watoto wale, then atalipwa.
Yanga hatutishiki na madeni. Wanaodai watalipwa, wavute subira 😅.HAHAHAAHAHHA haya ngoja kambole aje kama kambale ndo mtajua hamjui...
Hhatukatai kudaiwa lakini tatizo lipo kwenye ishu serious mpaka mpigwe ban ndiyo mshtiuke aise kwani huyo kamble ana muda ganiHakuna taasisi isiyodaiwa
Madeni ni kitu ya kawaida
Ukisoma club kubwa kama Madrid, man u, Inter Milan, n.k
Tena Yanga ina madeni machache
Siunawaona wanaogopa kudaiwa wamemg'ang'ania flop kama Miquison, saidoo, jobe nk
Hebu nambie vzr mtani...kwani niliahidi kuleta yenye macho mawili yote? Twende basiYanga hatutishiki na madeni. Wanaodai watalipwa, wavute subira 😅.
Alaf mtani deni lako kwangu sijasahau bado.