Ina maana mikataba yote waliyosaini Yanga sc wamekosa pesa ya kumlipa Kambole au ni mikataba hewa?

Leo Pacome kacheza, sasa sisi mabumbumbu tutaanzisha kampeni gani tena?
 
kwanza angalia orodha ya klabu zilizofungiwa kisajili hapa afrika ni nyingi sana,tena kubwa kubwa sio yanga tu
 
Kuna viru sikutegemea vitokee chini ya uongozi wa Injinia, mpira wa tz kubadilika sio leo
 
Viongozi wa Yanga waache ubabaishaji. Walipe madeni ya hao wachezaji haraka iwezekanavyo. Siyo poa kabisa kuichafua timu, kwa sababu tu ya ubabaishaji wao.
Ali kamwe anasema hamjalipa ada ya uanachama nyie, ndio mnasababisha yanga inakosa pesa ya kuwalipa hao wachezaji
 
Ishu ya mikataba Yanga haipo sawa inaonekana Wanasheria wa Timu wanapuuzwa Eng aangalie hilo wale FIFA sio watu wazuri wakiamua jambo lao...
 
Ali kamwe anasema hamjalipa ada ya uanachama nyie, ndio mnasababisha yanga inakosa pesa ya kuwalipa hao wachezaji
Hivyo ni visingizio vya kipuuzi na visivyo na mashiko.
 
Viongozi wa Yanga waache ubabaishaji. Walipe madeni ya hao wachezaji haraka iwezekanavyo. Siyo poa kabisa kuichafua timu, kwa sababu tu ya ubabaishaji wao.
Ningekujibu vibaya ila nakuheshim!... Kila Jambo na utatuzi wake!. Timu Ina mambo mengi hakuna taasisi inayofanya mambo kwa usahihi kila wakati!. Viongozi wangekuwa wababishaishaji ungekuwa unaleta kende zako humu kuwapongeza?. Acheni mihemko ya kitoto Bata Waheed nyie .....
 
Priorities...scale of preference.....ukijua holo utakuwa good Manager
 
Moderator, Active, haya matusi ya nguoni huwa mnayaruhusu humu jukwaani?
 
Yanga wanaponzwa na mihemko za usajili mwishoe wanaishia kwenye fedheha na faini za kuwalipa akina Mamadou Doumbia na Kambole ambao hata hawatumikia klabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…