Ina maana Watanzania tumeshaukubali upoteaji wa binadamu kama upoteaji wa funguo?

Ina maana Watanzania tumeshaukubali upoteaji wa binadamu kama upoteaji wa funguo?

This is so weird to me.

Why are we normalizing the disappearance of whole human beings?

Wanapotea watu wazima kabisa na familia zao halafu jamii nzima ni kama imekubali tu acha wapotee!

Coverage kwenye vyombo vya habari, hakuna.

Tungekuwa na responsible media kungekuwa na continuous coverage.

Front page na kwenye tv screens kungekuwa na counter ya idadi ya siku ambazo watu wamepotea.

Hivi ni kwamba watu ni waoga kiasi hicho au ni hawajali tu?

Kwa nini hao viongozi haramu wa serikali haramu ya Samia hawawi heckled kila waonyeshapo nyuso zao hadharani?

Nitarudi na uzi wa kuhesabu siku ambazo hao watu wamepotea na utakuwa updated daily ili kuakisi idadi ya siku walizotoweka.

We should be ashamed of ourselves.
Sidhani kama kuna mtu anafurahi binadamu mwenzie kupotea.
Watu hawana la kufanya, wamemuachia Mungu.
 
Watanzania ni watu wa ovyo na wabinafsi mno, kila mtu anaangalia maslahi yake, Hakuna hata mtu mmoja anawaza mambo ya mtu mwingine.
Angalia mambo yanaendelea sasa hivi, yaani wale ambao wanaambatana na serikali ya CCM leo wanaona kuwa hakuna kama wao, sasa angalia wanapokosa nafasi wanakuwaje?Ni jambo la ajabu na huzuni kubwa kwamba hatuthaminiani isipokuwa kwa kuwa nani ni nani.Inasikitisha sana.
Futa Watanzania, weka Viongozi.
 
chawa wa Yesu Kristo wa Nazareth, right? Maana huwezi kua mlevi, mwizi wa sadaka, muuaji wa maalubino, mpenda ngono, ulawiti na uzinzi halafu baada ya kufanya huo uchafu ukimbilie madhabahuni na kujiambatanisha na altare au msalaba wa Yesu.

Huo ni uchawa nonsense na lazima uingie moja kwa moja kwenye moto wa jehanam na limsalaba lako la kinafiki kumbe ni ushirikina mtupu 🐒
 
Ujerumani ni nchi ndogo kwa ukubwa wa ardhi,upotevu wa watu kwa mwaka ni watu 100,000 kumbuka ni nchi yenye tecnolojia za kiusalama za hali ya juu,
Tanzania na ukubwa wake watu hawapotei 25 kwa mwaka,pamoja na uduni wa tecnolojia za kiusalama kulinganisha na ujerumani.
Hoja yako mnainga ujerumani upotevu wa binadamu? Mbona hamuigi maendeleo yao kwa ujumla ktk nyanja zote muhimu?
 
Kwahiyo ni halali kwa watanzania kupotea kwasababu wajerumani wanapotea? Hivi ni kwanini tunapenda kujilinganisha kwenye upumbavu? Ni binadamu hao unaongelea kama unaongelea sisimizi! Kwani mnalishwa nini huko ujambazini hadi mnakuwa vichaa kiasi hiki?
Wanashangazwa kwa kweli.
 
Kwenye kupinga ushoga huwa wanaungana kama manyumbu wasio na mwelekeo.

Wanashupaza shingo kiasi kwamba mpaka wanavaa shumizi zenye vibwagizo vya kupinga ulaji wa mikundu.

Lakini kwenye utekaji hawafungui mdomo, wanajua kitakachowapata ni kufyekwa tu.

Wana ujasiri sana kwenye mambo ya kijinga, lakini hawana ujasiri wa kutetea uhai wao.

Wako radhi hata kufirwa na mapolisi huku hapo hapo wakiandamana na msenge DUDU BAYA kwenye maandamano ya ushoga.

Huwa nabaki mdomo wazi :1Head:

Cc: Tlaatlaah
 
ok.
sina maoni 🐒
 
Sidhani kama kuna mtu anafurahi binadamu mwenzie kupotea.
Watu hawana la kufanya, wamemuachia Mungu.
Nashukuru sana sina defeatist attitude namna hii!

Akina MLK, Nelson Mandela, na kadhalika endapo nao wangekuwa na defeatist attitude kama hiyo, leo hii sheria za Jim Crow na apartheid zingqlikuwapo!
 
unadhani waTanzania wanababaishwa na mihemko useless kama hiyo gentleman?

thus just hot air,
wananchi wanachapa kazi zao kwa amani regardless ya makasiriko yako useless, pamoja na yawafuata mkumbo wenzako 🐒
Kumbe mimi ni mfuata mkumbo. Thanks for your observation
 
Hakuna mwanadamu kamili, mwenye akili timamu, na mwenye Roho wa Mungu anayeweza kufurahia au kuona mauaji ya mwanadamu mwenzake ni jambi la kawaida. Mtawala anayeua ni yule pekee aliyepotelewa na hekima. Ukiona unafurahia mauaji ya binadamu wenzako, kwa sababu za kiwendawazimu, kama vile madaraka, tambua kuwa shetani amekupumbaza akili ili akupoteze milele. Nchi ipo katika laana kwa kumwaga damu za watu.
True hii nchi no ina laana , watu wengi sana wameuwawa kikatili sana
 
Hoja yako mnainga ujerumani upotevu wa binadamu? Mbona hamuigi maendeleo yao kwa ujumla ktk nyanja zote muhimu?
Na mimi nimeshindwa kumuelewa
Tungeiga vitu vyote ingekuwa poa sana
 
Back
Top Bottom