Inaarifiwa kwamba Suala la Ushoga limeanza kuongezeka kwa kasi Mkoa wa Mara

Status
Not open for further replies.
Nimeishi miaka mingi huko, hatukuwahi kuwa na hayo mambo, hata kukutana na Mwanamke tu anayecheza miguu yote kule ilikuwa hawapatikani.

Nahisi majirani zetu wa Kenya wameamua kuingiza hayo mambo kutuchafulia jamii yetu
 
Media zimejaa mashg,miziki wasanii sahv ndy wamejaa
Kuna wabunifu wa mavaz wa wasanii pendwa wenu wote mashoga

Ova
 
Kiongozi kwani una vita na wasabato?
 
Media zimejaa mashg,miziki wasanii sahv ndy wamejaa
Kuna wabunifu wa mavaz wa wasanii pendwa wenu wote mashoga

Ova
Ni kweli Mkuu, lakini Kwa hii taarifa ya Mkoa wa Mara kidogo imenishtua

Hakukuwa na hayo mambo hadi miaka 2023, iwaje sasa 🙌
 
Hapana Mkuu Sina vita nao ndiyo maana napata wasiwasi Kwa hii taarifa ya Ushoga.

Kwa jinsi tulivyo ngangari isingekuwa rahisi kupata mashoga kule
Sasa Mkuu ngoja nikufungue upeo kwenye hili swala. Unajua ushoga ni dhana pana sana na inaweza kusababishwa na mambo mengi.

Sasa miongoni mwa hayo mambo ni uwepo wa ukatili kwenye jamii, yaani jamii yenye matukio mengi ya ukatili hasa wa kijinsia badi ni rahisi kuwepo ushoga.

Hapa siongelei matukio yakulawitiwa hapana hapa naongelea uatili wa kijinsia ulioegemea kwenye saikolojia. Hili swala ni pana sijui kama utakuwa umepata picha kidogo ila ipo hivi miongoni mwa sababu za ushoga ni kubadilika kwa pattern za akili ya mwanaume, hasa kutokana na kushuhudia au kuishi kwenye jamii yenye matukio ya kikatili.

Wapo watu ambao hawana uwezo wakukabili msukumo wa hali ya maisha ya ukatili, mwisho wa siku wanapokuwa wakubwa wanajikuta kuwa na hitilafu za kuhisia na kiakili. Hapo ni ama awe shoga au msagaji. Na wengi wa mashoga na wasagaji waliopo hapa kwetu wametokana na hizo hitilafu zilizosababishwa na ukatili.

Kuna uzi zamani kidogo nilielezea zaidi hii dhana. Na ndio maana tofauti sana na vile watu wanavyodhani ushoga haushamiri sana mikoa ya Pwani sababu haina ukatili wa aina hiyo niliyoitaja, ila mikoa ya nje kabisa ndio inashamiri kwa kasi mfano, Iringa, Arusha, Dar na sasa Mara.

Inabidi sasa watu wajue wazi kuwa hili ni swala linalohitaji kufanyiwa tafiti zaidi badala ya kuja na dhana za kale kama tamaa na uzembe wa vijana. Ni zaidi ya hapo
 
Mungu atulindie Vizazi vyetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom