Inaarifiwa kwamba Suala la Ushoga limeanza kuongezeka kwa kasi Mkoa wa Mara

Inaarifiwa kwamba Suala la Ushoga limeanza kuongezeka kwa kasi Mkoa wa Mara

Status
Not open for further replies.
Kuwa na hormones za kike au kuzidi hazina impact backside hata kidogo narudia hazina impact hata kidogo,

Hormones zikizd pengine anaweza kuwa na secondary characteristics za kike wakati wa kukua kama ulivyo ainisha hapo juu,

suala la kuliwa Hilo naona ni namna mtu anavyo eka fikra zake kwa mwanaume mwenzake either kumwona inferior km demu au kuwa mwenzie ni masculinity na yeye avae uhusika wa feminine Ila sio hormones
Ni kweli kabisa
Sidhani kama hormone za kike ndio chanzo cha ushoga.
Sababu za mtu kuwa shoga ni mindset tu ya mtu, yeye anaona kwake kuliwa ni sawa halafu wanasingizia sijui wamezaliwa hivyo, mara hormone za kike zimewazidia. Hiyo sio sababu
Ni upuuzi tu na mindset za ******* ambazo kuna factor nyingi zimefanya wawe hivyo. Wanajiendekeza sana
 
Ukiachana na Anty Kessy niliyekuwa namwona pale kwenye saluni Tandika Sokoni nikiwa nakwenda skuli, shoga wa pili kumwona LIVE ilikuwa Utegi-Rorya-Mara miaka 2001...
Anty kessy alidedi bana, halafu alikua mwalimu tandika,nilimsoma gazetini nikiwa tabora 1990s,nikaenda kumuona kwa macho 2000s
 
Ukiachana na Anty Kessy niliyekuwa namwona pale kwenye saluni Tandika Sokoni nikiwa nakwenda skuli, shoga wa pili kumwona LIVE ilikuwa Utegi-Rorya-Mara mwaka 2001...
Kumbe kitambo mkuu
 
Kwa uelewa wangu mwanaume ana zote Testosterone na Estrogen, ila ana Testosterone kwa wingi na Estrogen chache. Estrogen kwa mwanaume ni muhimu kwenye afya ya misuli ya mwili mzima na kusaidia ubongo kufikiri vizuri.
Inatakiwa hormone za Estrogen ziwe chache kwa mwanaume ndio maana ni muhimu kwenda kupima

Kwa hiyo unaposema "kuna wanaume wana hormone za kike" nikuambie tu, kila mwanaume anazo hormone zote mbili. Cha msingi zibalance, inapotokea hamna balance ndo unaanza kuona mwanaume anakuwa na hizo trait za kike

Ingawa kuna wanaume wengi ambao estrogen imewazidia lakini madhara yake yakawa tu ni sauti nyororo, kupata gynaecomastia na obesity lakini isiwaletee madhara ya kutamani kuliwa na wanaume wenzao. Sometimes hao mashoga wanajiendekeza tu

Soma hapa uone kuwa kila mwanaume anazo hormone zote mbili
Nikiwa namaanisha ana tatizo la hormone imbalance ,za kikw ziko juu sana...
 
Ni kweli kabisa
Sidhani kama hormone za kike ndio chanzo cha ushoga.
Sababu za mtu kuwa shoga ni mindset tu ya mtu, yeye anaona kwake kuliwa ni sawa halafu wanasingizia sijui wamezaliwa hivyo, mara hormone za kike zimewazidia. Hiyo sio sababu
Ni upuuzi tu na mindset za ******* ambazo kuna factor nyingi zimefanya wawe hivyo. Wanajiendekeza sana
Umeeleweka vyema boss
 
Dah, TARIME wameaga mashindano 😂🤣, lile bango la SASA UNAINGIA TARIME, walitoe😂🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom