Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

Unachukua muda kama mwaka mmoja mpaka miwili hivi kikubwa uwe mvumilivu na uwe na hela. Hatua ya kwanza ni deed poll.
Kuna sister wangu alibadilisha kwa sababu za kidini, alichukua almost two years maana alikuwa muajiriwa, so alibadilisha mpaka NSSF, vyeti alivyosomea, cheti cha ndoa, Title deed za viwanja etc yaani ilikuwa ni vurugu flani hivi ila alifanikiwa maana alikuwa determined kubadilisha.
 
Back
Top Bottom