kimara Kimara
Senior Member
- Jul 7, 2024
- 141
- 287
Mambo vipi Wakuu, Hivi karibuni nilianza kulipia kidogo kidogo kwaajili ya Kununua Pikipiki, kwa hawa watu hapa wapo Mbagala Zakiemu, Mimi nipo mkoa x Nimefanikiwa kulipia kidogo kidogo mpaka kumaliza, ila baada ya kumaliza wanasema kuna process mbili, Moja ni Kuhakiki Miamala (Yaani kuomba bank statement) na mpesa Statement
Process ya pili ni Kufanya Transfer, niliwatumia ID, TIN NUMBER na Passport.
Ila wakati naanza kulipia kidogo kidogo hawakuniambia kama nikimaliza itakua usumbufu hivi kupata chombo changu na kusubiri muda wote huu.
Wenye uzoefu ama wanaojua inachukua muda gani kukamilisha hizo hatua za kufanya transfer naomba anijuze tafadhali.